Gospel KTV
Member
- Aug 23, 2025
- 88
- 63
Habari wana JamiiForums,
Naomba msaada kufahamu zilipo ofisi za Baraza la Wataalamu wa Kemia Tanzania (Chemist Professionals’ Council) .
Nimeangalia taarifa za umma; sijaona anwani ya ofisi ya Chemist Professionals’ Council ikiwa imewekwa wazi kama taasisi yenye tovuti/ofisi inayojitegemea.
Naombeni msaada nahitaji kufika kesho.