wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu za mikopo saidia hapa

    Makato ya mkopo tsh 100,000,,,,muda: miaka 10 ,,,,,riba 17% na bima 1% ikatwe kwa mkupuo
  2. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Laptop

    Lenovo Thinkpad Yoga ✅Core m3 ✅8th ✅Ram 8gb ✅SSD 256 gb ✅TOUCH ✅X360 rotations ✅Audio jack ✅3 USB PORT ✅TYPE C CHARGE Naomba kufaham laptop yenye sifa hiz ni bei Gani ?
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Wazawa zaidi ya 70 wa Usingizi Tiba na Ganzi wapewa mbini za kisasa MOI

    Wataalamu wazawa zaidi ya 70 wamepewa mbinu za kisasa za kutoa matibabu kwa wagonjwa ili kupunguza madhara yatokananyo na dawa kwa wagonjwa nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa leo Julai 22, 2025 na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Hamad Nyembea, Wizara ya Afya kwa niaba ya Katibu Mkuu wa...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kuwajengea uelewa wataalamu wa Tanzania na Burundi

    Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

    Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa miamba(Geography) Je ni kweli kwamba Volcano inapolipuka huwa inabeba madini Ndani yake?

    Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
  9. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mahusiano imekaaje hii?

    Wakuu si ulonzi huu? Mshana Jr, embu tia neno hapa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa madini msaada

    Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango na inafaa kwa kuuzwa na pia bei ya ton 1 copper ni bei gani??.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
  13. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa radiology

    Naomba wataalamu wanisomee majibu eti ni nini hicho
  14. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kodi emu tupeni elimu

    Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
  16. I

    JamiiForums Tanzania Watumiaji na Wataalamu Hawatumii HDD Tena Wana M.2 SSD, Wewe Je?”

    M.2 SSD ni Nini? Fahamu Chanzo cha Kasi Mpya kwenye Kompyuta za Kisasa Na Maleko GJ Ikiwa kuna kitu kimoja watumiaji wa kompyuta wanataka zaidi kila siku, ni kasi. Kasi ya kuwasha kompyuta, kufungua programu, kuhifadhi mafaili, na kufanya kazi nzito kama video editing au gaming. Na jibu la...
  17. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa printer

    Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata kwenye maandishi. Sio coloured lines, unprinted lines.
  18. Investaa

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa AFYA & SHERIA.

    Habari wataalamu. Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi nyumba kama hii niandae sh. Ngapi na mimi niamie kwangu?

    Wataalamu msaada wenu tafadhali nimechoka kupanga nina kaeneo kangu ka miaka nenda rudi, na mimi nataka niamie kwangu. Bei gani hii nyumba nataka niamie ndani ya siku mbili hizi.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
Back
Top Bottom