Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameendesha programu maalum ya uhamasishaji kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Tehama, ikiwa ni sehemu ya kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa usajili wa kitaaluma kwa wataalamu wa Teknolojia ya Habari na...
Sisi wataalamu wa maabara(certificate hadi degree) nchini Tanzania ambao tulifanya Mtihani wa Leseni kuanzia march 15 hadi april 01(certificate hadi degree) tumecheleweshewa kupewa matokeo kwa zaidi ya miezi miwili sasa, hali ambayo inatukosesha fursa nyingi ikiwemo ajira zinazotangazwa...
Anonymous
Thread
baraza
leseni
maabara
machi
madaktari
march
matokeo
mitihani
mwezi
wapi
wataalamu
Habari za jioni wana-jamvi (au habari za muda huu),
Katika kipindi hiki ambacho gharama za umeme na changamoto za kukatika kwa nishati zinazidi kuongezeka, nimeona vijana na akina baba wengi kwenye mitandao wakikimbilia kununua zile seti za solar za bei nafuu sana kutoka AliExpress (zile...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧
🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!
📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima
🔥 OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! 🔥
Tunakuzawadia TANK LA MAJI LA LITA 5,000 BURE! 🎁💦
Chukua hatua sasa! Kwa kila mradi wa kisima tutakaofanya...
Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania.
Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini.
Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
Anonymous
Thread
andiko
dawa
jambo
kuagiza
kuliko
mabilioni
mitaji
moja
serikali
uovu
vijana
wageni
wakati
wake
wataalamu
wengi
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia ukanda wa Afrika Mashariki.
Akizungumza baada ya Mkutano na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam leo Mei 16...
💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧
🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!
📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima
🔍 HYDROGEOLOGICAL SURVEY
(Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini)
Hatuchimbi kiholela — tunafanya utafiti kwanza!
📍 DSM & Pwani: TSh 300,000/=
📍 Mikoa...
Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake.
Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo kampuni. Kuna watu wanasema kampuni haina kesi kwa sababu mpigapicha alipiga kinywaji chao bila...
Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).
Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada.
Natanguliza shukrani 🙏
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
Makundi ya wataalamu wa kijeshi kutoka Ukraine yametumwa nchini Qatar, Falme za Kiarabu (UAE), na Saudi Arabia kusaidia mataifa hayo kujilinda dhidi ya ndege zisizo na rubani (droni) zinazorushwa na Iran. Mashambulizi haya ya Iran ni ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi makubwa ya anga...
Hi Everyone
Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili:
Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha.
Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa.
Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.
Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI.
kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari...
Habari zenu Wana jf
🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)
Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu...
Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi.
Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani.
Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
Wazee wa mikeka habari.
Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+)
Naomba kujua kwa wazoefu.
Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili.
Lengo niwe nafukuzia faida ya elfu 50 kwa siku hasa kwa live game isiyozidi odd 1.03 au live game...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba.
Desemba 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.