Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,922
18,019
Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania?

Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi?

Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za mezani(TTCL), ule waya uliokuwa unaungwa kwenye simu ulikuwa kwa ajili ya kuwezesha mawasiliano(kuhamisha mawimbi ya sauti) au ulikuwa wa ku supply umeme?

Naomba kuwakilisha

Yanga Bingwa🙏🙏
Screenshot_20240513-145440~2.png
 
Back
Top Bottom