Wale madada zangu Wasomi wanaharakati

kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
804
1,904
IMG-20211015-WA0001.jpg

Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume.

Haya utafiti wa huko ulaya.
 
aka 50/50,mimi mwanaume hanisumbui, nina hela yangu na kazi yangu hanibabaishi, hasiniumize kichwa nitalea mwenyewe, naweza lisha ukoo wenu mzima,mwanaume gani ,kwanza una nini......... sijui ninininini tukiwezeshwa tunaweza.....
 
Ni wew au uliambiwa umenukuu!?
 
View attachment 1975189
Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume.

Haya utafiti wa huko ulaya.
Wawe specific wanaongelea "Black women". nimesoma hizi tafiti nyingi sana , wanawake wa jamii ya watu weusi ndio wanaoongoza kuzaa nje ya wedlock.

Na mojawapo ya sababu kuu wanasema wengi wana issues mentally sababu ya history ya familia zao na makuzi hawakuandaliwa kuishi na wanaume kama partner's. Hii ni discussion kubwa sana Duniani huko especially marekani.

Aisee we have to do something, wanawake zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanakuwa victim sababu hawana proper gender Upbringing kuwaandaa kuwa wanawake katika jamii na wake kwa wanaume. Wanaandaliwa kuwa modern working class women ambapo hii huishia by the age ya 45+ and above....

Sasa hali itakuwa mbaya sana huko mbeleni tutakuwa na jamii ya hovyo sana. Fuatilieni jamani.... Fuatilieni hii mijadala....
 
Back
Top Bottom