Hivi Wasanii hufaidika nyimbo zao zinapofanyiwa parody?

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.

Moja wapo hii hapa.
 
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.

Moja wapo hii hapa.

Heheheee...siasa za kenya hizo!!
 
Mapato ya parody zote ya monetization inaenda kwa copyright owner wa nyimbo hata ukitumia sound track copyrighted inakuwa hivyo wanafaidika sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom