Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,175
22,576
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya

Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?

Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?

Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.

1: Franco - Mario
2; Monique Seka - Okaman
3: Tshala Muana - Mario
4: Madilu System- Yajaa
5; Madilu System -si je sa vais

6: Tabu Ley - Ibeba
7: Mbilia Beli - Nairobi
8: Madilu System - Sansa ya papi
9: Nyimbo zote za Franco
10: Oliver Ngoma - Icole
11: oliver ngoma - Lusa, Alphonsie
12: Kanda Bongoman - Muchana
13: Bozi Boziana - Pitie

Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?

Ongezea zako.
 
Kwa wale wapenzi wa music wa zamani bolingo japokuwa Mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya

Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?

Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza
Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?

Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.

1: Franco -Mario
2; Monique seka - okaman
3:tshala muana -Mario
4: madilu system- yajaa
5;madilu system -si je sa vais

6: tabu ley - ibeba
7mbilia beli - Nairobi
8: madilu system - sansa ya papi
9: nyimbo zote za Franco
10: oliver ngoma - icole
11: oliver ngoma - lusa, alphonsie
12:kanda bongoman - muchana
13: bozi boziana - pitie

Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?

Ongezea zako.
Sasa hivi tatizo siyo Muziki wala vipaji.

Ukishakuwa na media za propaganda tu umemaliza. Unauza hype tu.
 
Tatizo biti inatengenezwa na mtu mmoja.Nilikuwa naangalia Sauti Sol daah wale jamaa,yule mpiga gita wao anaplay part kubwa sana ya kupata biti unique wanapoingia studio,plus na wao wana uwezo wa kupiga vyombo vya muziki,product inayotoka hapo lazima iwe unique.

Bongo producer mmoja anafanya kazi kibao,kila kitu anafanya yeye lazima biti zitajirudia,kichwa kinachoka mwisho wa siku ubunifu unakuwa hamna.

Lakini kama biti ingekuwa inatengenezwa na watu wengi lazima biti zetu zingekuwa na upekee.

Ila tusiwalaumu maproducer tatizo wasanii wa bongo fleva hawapi thamani maproducer wanawazulumu kila siku,tena kama hawa wenye majina wanapenda dezo utawasikia "bila mimi wewe wasingekujua.....",wakati msanii mwenyewe hajui kupiga hata manyanga,vocal yenyewe ya kawaida.
 
Hilo nalo ni tatizo kubwa sana muziki bongo haulipi kwa music composers wanaishia kupata umaarufu

Wasanii wakitambua thamani yao watafika mbali
 
Kwanza nikusahihishe hakuna muziki unaitwa bolingo. Bolingo ni Neno la kilingala lenye maana ya mpenzi. Muziko huo ni Rumba ulioza genres kama sebene na baadae sokous. Sisi Tanzania tunaita muziki wa dansi ambao unabeba matawi hayo.

ila nakubaliana na wewe. Kwakweli hii bongoflava sisi ni muziki uliojaa ujanjaujanja sana. Tazama hata live band wanazopiga wabongo flava. Hazina ladha kabisa. Sababu ni moja tu, muziki huu unatengenezwa na mtu mmoja tu tena kwa kutumia computer. So ala zote ni ubunifu wa mtu mmoja ndio maana muziki ukipigwa live sound yake hovyo.

muziki wa dansi, ala zake zinatengenezwa na wapiga vyombo halisi. Kama ni magita yote matatu yanapigwa na watu tofauti. Congas yupo mpigaji wake, ngoma yupo anayepiga, trumpet yupo mpigaji. So ubunifu, umakinh na ubora ni wa juu sana. Hapo sound ni classic!
 
Ungemuelewesha tu kwamba hatna haja n lingala wala isekwese sijuiiii.. Mzee w wat unamwita mbweha!? Antegemew huyo
Ana kata moto bhana,

That' s why tunaita "zilipendwa", watu kama yey watiwe jela kwanza pumbafu hawa
 
Tatizo biti inatengenezwa na mtu mmoja.Nilikuwa naangalia Sauti Sol daah wale jamaa,yule mpiga gita wao anaplay part kubwa sana ya kupata biti unique wanapoingia studio,plus na wao wana uwezo wa kupiga vyombo vya muziki,product inayotoka hapo lazima iwe unique.

Bongo producer mmoja anafanya kazi kibao,kila kitu anafanya yeye lazima biti zitajirudia,kichwa kinachoka mwisho wa siku ubunifu unakuwa hamna.

Lakini kama biti ingekuwa inatengenezwa na watu wengi lazima biti zetu zingekuwa na upekee.

Ila tusiwalaumu maproducer tatizo wasanii wa bongo fleva hawapi thamani maproducer wanawazulumu kila siku,tena kama hawa wenye majina wanapenda dezo utawasikia "bila mimi wewe wasingekujua.....",wakati msanii mwenyewe hajui kupiga hata manyanga,vocal yenyewe ya kawaida.
Pamoja na hayo, mbona kwa maproducer wa zamani haikua hivyo na walikua wanafanya kila kitu wao wenyewe.? Mfano sikiliza production za Mika Mwamba.

Tatizo nilionalo ni la kutaka kuiga beat za wenzetu bila kutaka kujua mpangilio wake. Ila panapojua na ubunifu binafsi always sound itakua nzuri tuu kwa wenye masikio ya mziki mzuri.
 
Kwanza nikusahihishe hakuna muziki unaitwa bolingo. Bolingo ni Neno la kilingala lenye maana ya mpenzi. Muziko huo ni Rumba ulioza genres kama sebene na baadae sokous. Sisi Tanzania tunaita muziki wa dansi ambao unabeba matawi hayo.

ila nakubaliana na wewe. Kwakweli hii bongoflava sisi ni muziki uliojaa ujanjaujanja sana. Tazama hata live band wanazopiga wabongo flava. Hazina ladha kabisa. Sababu ni moja tu, muziki huu unatengenezwa na mtu mmoja tu tena kwa kutumia computer. So ala zote ni ubunifu wa mtu mmoja ndio maana muziki ukipigwa live sound yake hovyo.

muziki wa dansi, ala zake zinatengenezwa na wapiga vyombo halisi. Kama ni magita yote matatu yanapigwa na watu tofauti. Congas yupo mpigaji wake, ngoma yupo anayepiga, trumpet yupo mpigaji. So ubunifu, umakinh na ubora ni wa juu sana. Hapo sound ni classic!
Producer yeye halafu unakuta kafanya mixing yeye tena
 
Pamoja na hayo, mbona kwa maproducer wa zamani haikua hivyo na walikua wanafanya kila kitu wao wenyewe.? Mfano sikiliza production za Mika Mwamba.

Tatizo nilionalo ni la kutaka kuiga beat za wenzetu bila kutaka kujua mpangilio wake. Ila panapojua na ubunifu binafsi always sound itakua nzuri tuu kwa wenye masikio ya mziki mzuri.
Zamani nasikia biti ilikuwa inapitia mikononi mwa watu zaidi ya watatu sijajua kwa Mika ilikuwaje,mfano Majani pale kulikuwa na Soggy Dog,Lamar,Duke nk na ndio maana Majani alikuwa yupo vizuri.

Yaani asikudanganye mtu kutengeneza biti pekee yako,lazima utaishiwa ubunifu tu,mwisho wa siku biti zinajirudia.
 
Nami nasikia hivyo ila kwa Mwamba sijawahi kusikia ndio maana nikamtolea mfano.
 
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya

Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?

Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?

Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.

1: Franco - Mario
2; Monique Seka - Okaman
3: Tshala Muana - Mario
4: Madilu System- Yajaa
5; Madilu System -si je sa vais

6: Tabu Ley - Ibeba
7: Mbilia Beli - Nairobi
8: Madilu System - Sansa ya papi
9: Nyimbo zote za Franco
10: Oliver Ngoma - Icole
11: oliver ngoma - Lusa, Alphonsie
12: Kanda Bongoman - Muchana
13: Bozi Boziana - Pitie

Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?

Ongezea zako.
Watizame Sauti Sol wanavyo tengeneza biti ya Suzana.Nimeisikiliza album yao ya Midnight train production imesimama hamna biti iliyo jurudia.
 
Mika sijajua alikuwa anafanya vip,ila nae alikuwa yupo vizuri.
.ni ubunifu wakuweza kutafsiri wimbo wa mtu na namna gani ampigie vyombo kitu ambacho kwa maproducer wa sasa kinamiss, si hivyo tuu, wasanii wengi wa siku hizi wanaenda studio bila nyimbo kazi inabaki kusikiliza beat akiipenda anaitungia wimbo huku anaingiza vocal. Hivyo producer anakua hana chakubuni zaidi ya kumpangia pangia wapi ikae chorus wapi ikae verse. So kuna uwezekano katika studio nyingi kuna beat kibao ambazo producer alizigonga alipokua na mizuka yake yeye mwenyewe
 
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya

Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?

Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?

Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.

1: Franco - Mario
2; Monique Seka - Okaman
3: Tshala Muana - Mario
4: Madilu System- Yajaa
5; Madilu System -si je sa vais

6: Tabu Ley - Ibeba
7: Mbilia Beli - Nairobi
8: Madilu System - Sansa ya papi
9: Nyimbo zote za Franco
10: Oliver Ngoma - Icole
11: oliver ngoma - Lusa, Alphonsie
12: Kanda Bongoman - Muchana
13: Bozi Boziana - Pitie

Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?

Ongezea zako.
Hili nilishalisema hapa pia kuwa Muziki wa Congo siku zote huwezi kuichoka na ndio maana wazee wengi ambao walikuwa vijana miaka ya 70's na 80's huwezi kuwashawishi eti kuwa midundo ya sasa inaizidi ya zamani.

Ukisikiliza hizo nyimbo ulizoandika hapo pamoja na wimbo kama:

et Rochereau, Mamou, Ya Jean na Nadina ya Mbilia Bel utagundua utofauti mkubwa sana kwasababu walikuwa wanatumia vyombo Vingi lakini KWA USAHIHI KABISA, kwa mfano Gitaa, Kinanda, Filimbi, Ngoma n.k

Kifupi ule ndio mziki hasaa
 
Zamani nasikia biti ilikuwa inapitia mikononi mwa watu zaidi ya watatu sijajua kwa Mika ilikuwaje,mfano Majani pale kulikuwa na Soggy Dog,Lamar,Duke nk na ndio maana Majani alikuwa yupo vizuri.

Yaani asikudanganye mtu kutengeneza biti pekee yako,lazima utaishiwa ubunifu tu,mwisho wa siku biti zinajirudia.
Ni kweli kabisa.
Ukisikiliza interviews za Master J, anasema kabisa kwamba walikua wanachangia kutengeneza beat watu kadhaa. Then mixing na mastering zinafanywa na wengine pia. The same kwa sound crafters, akina Bizzman na Enrico walikuwa wanafanya kazi pamoja kupika muziki mzuri. Ukisikiliza albamu ya RIZIKI ya K Bazil utakubaliana na hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom