wasafi

  1. covid 19

    Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  3. K

    Wasafi festival mmeboa

    Wote hatuna uwezo wa kwenda Mtwara, tuliokuwa tunatazama kwenye TV, mmezima mmetuboa kweli au mitambo mibovu? J Melody katisha, ilipokuja zamu ya Zuchu, mambo yakaharibika
  4. T

    Jerald Hando wa Wasafi Media amshambulia vikali Salma Said wa DW kwa kuponda tamasha la Kizimkazi

    Mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi FM amshambulia mtangazaji wa kituo cha redio DW ya Ujerumani, kwamba huyo mtangazaji alikosea sana namna alivyoripoti tamasha la kizimkazi. Akizungumza katika kipindi cha asubuhi huku akikwepa kutaja jina la mtangazaji na kituo anachotangazia lakini...
  5. R-K-O

    Kuna bloggers wasafi wanaopiga $2,000+ hapa bongo ?

    Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open. Bloggers wa mikato hawa wala haishangazi kuchapa hata dola 2,000+ kila mwezi japo huwa ni wasiri mno...
  6. M

    Sasa ni rasmi Wasafi FM inapendwa na wana Yanga na EFM Radio inapendwa na wana Simba

    Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
  7. GENTAMYCINE

    Zembwela wa Wasafi FM aitaka Serikali iruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Wanaohitaji huku akiisifia mno

    "Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
  8. The Burning Spear

    EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

    Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa. 1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete 2. Hawako serious Katika kuchambua mambo...
  9. M

    Sasa ni rasmi kuwa Majizo wa EFM na Diamond wa Wasafi FM wameingia Vitani

    Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi...
  10. Cannabis

    Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

    Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa...
  11. D

    Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  12. Gulio Tanzania

    Lavalava katoka Wasafi? Account yake inatumika kutangaza matangazo

    Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya wasafi bet kampuni ya wasafi ni kubwa ni vyema wakatujulisha kinachoendelea
  13. Hemedy Jr Junior

    Wasafi media, kipindi cha masham sham kinafundisha nini kwenye jamii?

    Kwa wafuatiliaji wa Wasafi fm/ kuna kipindi kinaongozwa na Didah Shahibu/Juma Lokole na idriss... hivi serikali/mamlaka uwaga wanafuatilia hizi project za vipindi au kisa media kulipa kodi. Moja kati ya vitu vinavyopotosha na kuaribu ni vipindi vya TV na radio tunaomba kipindi hicho kifuatiliwe...
  14. ndege JOHN

    Sababu kwanini Bora malaya wa bar ni wasafi kuliko videmu vya kitaa

    Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid 1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana tabia ya kukejeli public mfano fulani ananuka k.. 2.wanajali kinga maana wanajua wanatoka Na watu...
  15. sinza pazuri

    TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

    Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho. Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz. Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi. Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie...
  16. AbuuMaryam

    Hivi hawa watangazaji wa Wasafi na E-fm mnawaelewa?

    Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN. Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga hoja. Kiasi kwamba mimi nahisi kazi yao ni kubalance muda wa kipindi na matangazo... Na wako makini...
  17. koba lee

    Wasafi FM mnatatizo gani?

    Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo. Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa...
  18. Ali Nassor Px

    Wasafi Media bado inawahitaji Jonijoo na Mtiga Abdallah

    Kila mtu anajua leo hii kuwa Wasafi Tv na Wasafi FM ndiyo media ambayo zimepata nguvu ya kushabikiwa kwa muda mfupi na kupata watazamaji na wasikilizaji wengi. Huenda labda ushawishi huo umekuja kwa sababu ya bosi wao Diamond platnumz kuipiga chapuo media hiyo lakini kuna kitu naona kabisa...
  19. Chizi Maarifa

    Kwa mdada/wadada wasafi mliopo Zanzibar naomba wenyeji wenu

    Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani kupata rafiki wa kike ambaye tutafanya naye biashara. Asiwe sister du insta mikucha. Hawa huwa...
  20. GENTAMYCINE

    Green Guards wa CCM na UVCCM mlipanga 'Kumteka' Mtangazaji wa Wasafi Media (Charles William) ili iweje?

    UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards. Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa...
Back
Top Bottom