Sasa ni rasmi Wasafi FM inapendwa na wana Yanga na EFM Radio inapendwa na wana Simba

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC

Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.
 
Upo sahihi yaani kwenye mstari, na asitokee mtu kuleta unafiki ngoja wanyooshane
 
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC

Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.
Mule yanga tupu,mahojiano ya hersi said pale watangazaji kama walikuwa wako upande wake,shobo nyingi

Ova
 
Wachambuzi wa wasafi huwezi walinganisha na zle taka taka za EFM, mi nafuatiliaga Wasafi arena na pia nafuatiliaga Cha EFM saa sita kama sikosei hadi Tisa, wasafi wapo vizuri sana
Liangalie hili Juha hivi EFM wana Kipindi cha Michezo ( Weekdays ) kinachoanza Saa 6 Mchana hadi Saa 9 Alasiri?

Hauna Akili na Nimeudharau sana tu.
 
Wasafi fm is a bigger brand than efm . Ukienda efm mjini huendi ni wasafi fm n tv wakikupa promo umetoboa
 
Tangu lini Makolo mkawa na Akili?

Akili za Makolo ziko mikononi mwa Malaya wa Mpira Jemedari pamoja na Msimbe wa Mpira Oruma bila kumsahau Kimada wa Mpira Geof Leah!
 
Kula chuma hicho.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685959540939.jpg
    FB_IMG_1685959540939.jpg
    60.3 KB · Views: 5
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC

Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.
Utakufa masikini,roho mbaya kama hii haitakiwi
 
Back
Top Bottom