Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu.
09F7EFFA-BEBF-4059-B4A4-3C744B42DF4B.jpeg


Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda lakini hujaonekana, Juma Nature pasipo kupepesa macho wala kufikiria mbali zaidi akajibu, “Nafanyaje Show kwa laki tano si dharau hizi”
95F1920A-B6A7-4951-8260-208EEF474566.jpeg


Ukimuona Juma Nature utamwambia nini?
 
Back
Top Bottom