Sasa ni rasmi kuwa Majizo wa EFM na Diamond wa Wasafi FM wameingia Vitani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi cha Michezo na Gerald Hando Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka.

Na Majizo naomba MINOCYCLINE nikuiibie hii Siri kuwa Diamond Platnumz sasa anataka Kukumaliza kabisa na yuko katika hatua za mwisho kutaka Kumnyakua Mtangazaji Kivutio katika Redio yako Veronica Frank wa Kipindi Kinachopendwa na Wengi cha Simulizi.

Wakati Wewe uklmlipa Mshahara wako wa Shilingi Milioni Tatu taarifa zilizonifikia zinasema Diamond Platnumz wa Wasafi FM anataka kumpandia Dau la Mshahara wa Shilingi Milioni Tisa kwa Mwezi, Kumpangia Nyumba nzuri na kumpa Gari ya Thamani Kubwa.

Majizo wa EFM ulishaonywa mapema tu na wenye Akili Kubwa ( Uliowadharau ) kuwa usishindane na Diamond Platnumz wa Wasafi FM kwani Yeye Pesa anayoitumia ni yake kama yake, ila Wewe zako kwa 75% ni Pesa za Mikopo uliyoiingia hivyo hutomuweza.

Kama Diamond Platnumz wa Wasafi FM keshamnyakua Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka EFM Gerald Hando wa Kipindi cha Asubuhi, tena amemnyakua Mtangazaji mahiri wa Michezo EFM Maulid Kitenge wa Kipindi cha Sports Headquarters na sasa anapanga Kumnyakua Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto Veronica Frank wa Kipindi cha Simulizi Zetu je, utakuwa na Vipindi tena hapo?

Umeyataka Mwenyewe na Pole mno.
 
Hivi hawana uwezo wa kuibua vipaji vipya mpka wawagombanie hao hao kila siku? Kwangu mm huyo kitenge, hando na the likes sioni kama wanajipya, miaka nenda rudi hawaja offer chochote kipya zaidi ya kupiga kelele tuu studio.

Hebu hawa wamiliki waanze kuwaamini wabunifu chipukizi.
 
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi cha Michezo na Gerald Hando Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka.

Na Majizo naomba MINOCYCLINE nikuiibie hii Siri kuwa Diamond Platnumz sasa anataka Kukumaliza kabisa na yuko katika hatua za mwisho kutaka Kumnyakua Mtangazaji Kivutio katika Redio yako Veronica Frank wa Kipindi Kinachopendwa na Wengi cha Simulizi.

Wakati Wewe uklmlipa Mshahara wako wa Shilingi Milioni Tatu taarifa zilizonifikia zinasema Diamond Platnumz wa Wasafi FM anataka kumpandia Dau la Mshahara wa Shilingi Milioni Tisa kwa Mwezi, Kumpangia Nyumba nzuri na kumpa Gari ya Thamani Kubwa.

Majizo wa EFM ulishaonywa mapema tu na wenye Akili Kubwa ( Uliowadharau ) kuwa usishindane na Diamond Platnumz wa Wasafi FM kwani Yeye Pesa anayoitumia ni yake kama yake, ila Wewe zako kwa 75% ni Pesa za Mikopo uliyoiingia hivyo hutomuweza.

Kama Diamond Platnumz wa Wasafi FM keshamnyakua Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka EFM Gerald Hando wa Kipindi cha Asubuhi, tena amemnyakua Mtangazaji mahiri wa Michezo EFM Maulid Kitenge wa Kipindi cha Sports Headquarters na sasa anapanga Kumnyakua Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto Veronica Frank wa Kipindi cha Simulizi Zetu je, utakuwa na Vipindi tena hapo?

Umeyataka Mwenyewe na Pole mno.
Aende radio one akamchukue abdallah mwaipaya na Farhia midley then wasafi akamchukue ambangile tu anatosha.
 
Hivyo vyote ni viredio vidogo vya mjini havioni aibu kugombania watangazaji wenye umaarufu, watayamaliza tu na huo mtifuano utaisha
 
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi cha Michezo na Gerald Hando Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka.

Na Majizo naomba MINOCYCLINE nikuiibie hii Siri kuwa Diamond Platnumz sasa anataka Kukumaliza kabisa na yuko katika hatua za mwisho kutaka Kumnyakua Mtangazaji Kivutio katika Redio yako Veronica Frank wa Kipindi Kinachopendwa na Wengi cha Simulizi.

Wakati Wewe uklmlipa Mshahara wako wa Shilingi Milioni Tatu taarifa zilizonifikia zinasema Diamond Platnumz wa Wasafi FM anataka kumpandia Dau la Mshahara wa Shilingi Milioni Tisa kwa Mwezi, Kumpangia Nyumba nzuri na kumpa Gari ya Thamani Kubwa.

Majizo wa EFM ulishaonywa mapema tu na wenye Akili Kubwa ( Uliowadharau ) kuwa usishindane na Diamond Platnumz wa Wasafi FM kwani Yeye Pesa anayoitumia ni yake kama yake, ila Wewe zako kwa 75% ni Pesa za Mikopo uliyoiingia hivyo hutomuweza.

Kama Diamond Platnumz wa Wasafi FM keshamnyakua Mchambuzi mahiri wa Masuala Mtambuka EFM Gerald Hando wa Kipindi cha Asubuhi, tena amemnyakua Mtangazaji mahiri wa Michezo EFM Maulid Kitenge wa Kipindi cha Sports Headquarters na sasa anapanga Kumnyakua Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto Veronica Frank wa Kipindi cha Simulizi Zetu je, utakuwa na Vipindi tena hapo?

Umeyataka Mwenyewe na Pole mno.
Uchawa kazi kweli
 
Wanawake na umbea kama samaki na maji. Genta wewe huwezi kufanya issues za kiume ukaachana na umbea na udaku kila siku? Dogo ukue sasa
 
Back
Top Bottom