Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,284
20230419_183932.jpg

Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa kula.
 
View attachment 2593174

Angekuwa na akili angekuja na kitu kingine kipya kabisa
 
Ubunifu bongo ni zero
Ndiyo yale ya kuigana biashara
Kama vile hakuna vitu vingine vya kufanya
Msanii tunakutegemea uwe mbunifu siyo tu kwenye kubuni miziki hata kubuni fursa za kufanya kwa namna za kipekee kabisa
Wasanii wa bongo wengi ni washamba sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom