wasafi

  1. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa WCB (wasafi) ambao hawana nyota ya kukubalika

    1.... D voice Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii wengine underground walio nje ya wcb. 2....Lava Lava Huyu alihit sana mwaka 2017 baada ya kujoin...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

    Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira. Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wasafi wamegoma kukatìsha kabisa matangazo kwa ajili ya Didah

    Japokuwa Mangwea hakuwa mfanyakazi wa Clouds lakini mwamba alipoondoka clouds walijitahidi sana kumuenzi. Ngoma za mwamba zilipigwa siku nzima. Hapo hatujaongelea mtu kama Ruge, wakina Kibonde na Gardner. Huku Wasafi chini ya meneja vipindi wao baba Levo wako wako tu. Kuanzia usiku, asbuhi...
  6. Broadcast

    JamiiForums Tanzania Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

    Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida. Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  9. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Crown Media ni bora kuliko Wasafi Media

    Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka. Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana. Kadri siku zinavozidi kwenda itazidi kuimarika...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Wasafi Dot Com ya Diamond Platnumz? Na kwanini hatuisikii?

    Habari zenu wanabodi. Kama mtakumbuka vizuri, mwaka 2017 Diamond alianzisha platform ya kuuza muziki ya kuitwa Wasafi Dot Com ambapo watu walitakiwa walipe kiasi cha 300 ili waweze kununua nyimbo za wasanii. Sina uhakika sana nini kilitokea lakini hiyo platform kufikia sasa ni haipo. Watu...
  11. Full charge

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii imetengenezwa na Wasafi Media

    Habari wakuu, nimeshangaa sana kuona WASAFI TV ikitumia lugha ya kihuni tena yenye maudhi katika uwasilishaji wa taarifa. Chombo mahili hakiwezi kutumia neno 'usela mavi' katika kufikisha ujumbe wake kwa hadhira,binafsi siyo mtaalamu wa teknolojia labda nyie wajuvi wa mambo hayo tazameni hii...
  12. Mystery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimestushwa sana kusikia mtangazaji Wasafi Media, anayeitwa Adela, akijimwambafai kuwa amewahi kuhongwa milioni 60 na mpenzi wake!

    Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa Adela, akimuuliza awe mkweli na amwambie katika maisha yake , anakumbuka ni kiasi Gani alichowahi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  14. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

    Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️ Meena Ally(Clouds FM) Aaliyah...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo anaondoka Wasafi Sports Arena? Watu tunasikiliza kipindi hicho kisa 'Zandanii'. Tafadhari kaeni mezani

    I know I might be the one who stimulate Ricardo Momo to improve his presence in the show. But not him to resign. I believe wasafi can reach a deal with him. We depend on him to give us more accurate informationsℹ️ that media doesn’t have. The moment he resign especially near signing season...
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wasafi na kampuni ya usambazaji wa Muziki 'ZIIKI MEDIA' imefika pabaya, ZIIKI wazuia utoaji wa wimbo wa Lavalava, Diamond awachana

    Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii. Pichani ni boss wa ziiki...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

    Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani. Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Back
Top Bottom