Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mwl. John Pambalu kimeipinga taarifa ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inayoonyesha ongezeko la idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, Madiwani unaotarajiwa...