wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

    Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa. Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni. Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kwenye East Africa Community tumefikia wapi?

    1. Ni Nini tunaposema custom union? 2. Ni nini tunaposema monetary union 3. Common market je? 4. Federation je?
  3. JamiiForums Tanzania Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

    Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  6. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wasabato wa zamani?

    Nimetoka mkoa wa Mara-Tanzania, sehemu niliyokulia Mimi Kuna wasabato wengi kiasi, Pamoja na dhehebu la menonite ndio wamedominate huko. Kwenye familia yetu mzee wangu sio msabato, Lakini kaka zake na ndugu kiasi ni wasabato. (Mzee wangu alioa wanawake wawili) ni kama Hana tu dini. Nilipokua...
  7. JamiiForums Tanzania Sabaya amekiri makosa yote yaliyokuwa yanamkabili na Uhujumu Uchumi. Walionyanyaswa na Sabaya waende wapi Kushitaki?

    Anaandika Malisa GJ Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia...
  8. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mashine za kubetia

    Heri ya pasaka wakuu, Nina uhitaji wa zile mashine za kubeti premier bet au yeyote wapi naweza kupata wakuu. Nipo mjini Dar es Salaam Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Wanathamini sana saikolojia, tunakwama wapi?

    Ni Kenge tena, Uko duniani(Mataifa yalioendelea) wanazingatia sana wanasaikolojia. unakuta hata muokota uchafu mwisho wa mwezi anafanya appoitment kuonana na Mwanasaikolojia Baadhi ya Kazi ni lazima uwe na mwanasaikolojia MFANO; Bondia na Mke wa bondia Kwa mujibu wa sheria zao ni lazima...
  10. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

    Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi. Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
  11. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

    Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke huficha wapi pesa yake?

    Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani ila tu sijui ni location ipi. Nimetafuta hadi nimechoka. Nikisema nimuazime, hawezi nipatia. Si...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo. Chanzo...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto na wajuku zako watanunua viwanja vya kujenga wapi?

    Umeshajiuliza waliowahi kupata viwanja kariakoo Sasa Wanaishi kama wafalme, mnaziona zile slums ambazo zipo Buguruni, Manzese zote ni hela ndefu jaribu kumuamisha mtu uone bei utakayo pewa. Jiji la Dar es Salaam kama vile limeshajaa tu, Ukiwa na kipato kidogo jiandae kujenga kibaha kwa Mathias...
  15. JamiiForums Tanzania MwanaJF Bidada "Maserati" yuko wapi?

    Kama sijakosea ID yake , ila Huyu Bidada sijui alibadili ID, Sijui ilikuaje!..Mara ya mwisho kuona ID yake ni 2017 Kipindi najiunga JF niliwahi mshobokea PM, ni Mdada Mzuri, wa Umbo na Sura , Mpole pole with sweet language , Nahisi wa Kishua hivi . Wee Bidada kama upo Hai tusalimiane ...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikijitahidi kuzikemea ndoto zangu lakini wapi! 2025 CCM watanyukana ngumi!

    Shalomu Tanzania! Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

    Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani. Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7. Wakati...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Unique Sisters wako wapi siku hizi?

    Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini? Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan. Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku...
  20. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…