saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
RIPOTI ya CAG 2021/2022 ilionyesha ufisadi wa kutisha Serikali ambapo Wizara zilizoongoza ni Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na wizara nyingine kidogo kidogo.
SWALI langu: Je, huo Wizi na Ubaridhirifu wa Matrilioni ya Fedha ndiyo umeishia hivyo hivyo au kuna kinachoendelea maana watanzania wote wanaongelea bandari ufisadi wa matrilioni uliobuliwa na CAG tumenyamaza kupiga kelele.