Ndege ya Rais haionekani tena Mtandaoni, itakuwa imekwenda wapi?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar.

Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je ile ya abilia iliyoshikiliwa iko wapi?.

Ndugu zangu ndege yetu iko wapi na nini sababu ya kupotea hata kwenye rada?

Screenshot 2023-09-27 120210.png
 
Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar.

Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani.

Ndugu zangu ndege yetu iko wapi na nini sababu ya kupotea hata kwenye rada?
1692360770784.png
 
Safi naina unakuja vizuri na vipi ile ndege yetu ya abilia iliyoshikiliwa huko Arabuni?.
Kwani kuna ndege nyingine inashikiliwa Urabuni!! Kwa mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa inashikiliwa Uholanzi, na tayari ilishaachiliwa.
 
Naendelea kufuatilia but DP ndiyo chanzo mkuu.
 
Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar.

Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je ile ya abilia iliyoshikiliwa iko wapi?.

Ndugu zangu ndege yetu iko wapi na nini sababu ya kupotea hata kwenye rada?

Mambo mengine jiongeze Tu

Nenda Kwa wakala wa ndege za serikali kwenye mkoa wako then waulize

Watakupa majibu
 
Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar.

Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je ile ya abilia iliyoshikiliwa iko wapi?.

Ndugu zangu ndege yetu iko wapi na nini sababu ya kupotea hata kwenye rada?
Na wewe unafatana nayo?
 
Nenda Kwa wakala wa ndege za serikali kwenye mkoa wako then waulize, watakupa majibu.
Sidhani kama hapa tarafani kwetu kwedikanya kuna huyo mtu umemtaja, labda nielekeze ofisi yake alipo ni wilaya ya Namtwepu huku!.
 
Basi nenda office ya mkuu wa wilaya utapata majibu yote hayo boss
 
Back
Top Bottom