Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,046
Reaction score
1,691
Mwaka 2022 nilisafiri kikazi mkoani Lindi, ambapo tulitembelea wilaya na vijiji mbalimbali. Tulipofika Wilaya ya Ruangwa niligundua kuwa bei ya ardhi ni nafuu sana. Kwa mujibu wa taarifa nilizopata, ukinunua ardhi kupitia serikali ya kijiji na unahitaji eneo kubwa, ekari moja inaweza kupatikana kwa takribani Shilingi 10,000.

Hata hivyo, ukinunua ekari moja au mbili kutoka kwa wananchi, bei yake huwa karibu Shilingi 20,000 kwa ekari."

Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
 
Mwaka 2022! Nilisafiri kwenda lindi kwa kikazi.Katika ile project tulikua tunazunguka wilayani na kwene vijiji ndani ndani huko.

Nilikuja kufika sehemu ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.

Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama una taka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20

Kweli tanzania Bado ardhi nyingi!
Elfu 20?????
 
Hizi ndo threads ninazo zipenda!!
 
Back
Top Bottom