Hivi munch wa anabelle alipotelea wapi?

Hivi munch wa anabelle alipotelea wapi?

Joined
Jun 3, 2024
Posts
92
Reaction score
271
Ni mtu ambae alipata pata viskendo humu ambavyo nisingependa kuvizungumzia.

Yu mwema, yu hai?
 
Bado anauguza mshono alijifungua kwa kisu
 
Watu wana miliki ID zaidi ya tano humu jukwaani.

Mtu anajifungulia uzi mwenyewe.

Halafu anajikomentia mwenyewe na ID yake nyingine.

Ila akili za kibinadamu zina uwendawazimu sometime.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom