Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,295
Reaction score
2,837
1000060639.jpg
Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa.
Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
 
Tafuta EPS board zitakua nadhani kuna kampuni iko salasala niliona wanauza EPS board
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom