wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua...
  2. JamiiForums Tanzania Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  3. JamiiForums Tanzania NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

    Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki. Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  5. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Upinde na mishale ya kisasa kama hii

    Natafuta hizi zana, wapi nitazipata?
  6. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata haya mapanga

    Mapanga marefu yenye makali pande zote, yanahifadhiwa kwenye pochi lake
  7. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),” Wakala...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwenye nafuu ni mtandao gani vifurushi vya simu

    Naona Tigo size yako wametoka min 180 to 60, 2GB to 1.5 GB, 100 sms to 20 for seven days at 2500 Tujuzane kwenye nafuu ni wapi, ni mtandao gani?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumi za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana. Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mchanga Dar na miji mingine ya pwani umetoka wapi?

    Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

    Habari wakuu. Naulizia nyumba ambazo wazee watu wazima wanatunzwa. Nahitaji kwenda kuwasalimia na kuwashika mkono kidogo
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Amechaguliwa vyuo viwili aende wapi??

    Amechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi. Institute of Social Work Kampala University Je aende wapi??
  20. JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…