wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

    Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching. Itakua machozi jasho na...
  2. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  3. JamiiForums Tanzania Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang. Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

    Salama wandugu tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake. Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu. Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sijui Tunaelekea wapi!

    Wana JF, Hapa mengi yanasemwa na maisha ya kijana yanaweza kuwa hatarini nini?
  9. JamiiForums Tanzania Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

    Eti wakuu, kwa Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano na kurudi na kitoweo. Au akafanya kama burudani lakini ssmaki anapata? Najua kuna bahari, lakini kuweza kuvua kwa ndoano na kupata mboga ni kitu kingine.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  11. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

    Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
  12. I

    JamiiForums Tanzania Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

    Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA. Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene? Jumaa kareem
  14. JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  15. JamiiForums Tanzania Bomba za silva kwa ajili ya kingo wanauza wapi na bei ikoje? Plz

    Habari zenu wadau. Nauliza zile bomba zinazowekwa katika nyumba sehemu za ngazi au kingo kwenye balcony na sehemu kama hizo zinaizwa wapi na bei yake ikoje? Bomba hizi hujengewa kwa ajili ya kuzuia mtu asiweze kubambikia upende mwingine mfano kwenye nyumba za ghorofa hizi huwekwa balcony na...
  16. JamiiForums Tanzania Hii chumvi huko inatokea wapi au ni kwa nini ipo? Nimeshtuka sana. Sikuelewa.

    Nliambiwa na mtu niingie chumvini. Sikumwelewa "mashokoro mageni" nikawa tu naendelea na mambo yangu akanishika kichwa na kukielekeza huko ...sikuelewa. akanambia lamba chumvini Hapo akanikata stimu kabisa...nikajiuliza hawa wadada watakuja kupata kansa kwa nini anaweka chumvi huko akitaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kelele za Bandari ya Bagamoyo zimeishia wapi? Haitojengwa, hakuna wa kukujengea bure!

    Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa? Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa? Ni...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wasanii wa filamu wa kiume kulialia nje ya location imetoka wapi?

    Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani.... Mi ninavyoelewa machozi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

    Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena Instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake.. Mwenye latest ubuyu kuhusu Jacky Mengi atugee
  20. JamiiForums Tanzania Wakati ule wa Nuhu- ndio huu sasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…