Yupo wapi Zuhura Shaabani aliyeimba wimbo "Hakuna Tenda, Hakuna Buzi"?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa.

anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman.

  • yes am a man
  • i am a dj
  • i love music
  • all kind of music.
  • i am an open minded person.





zuhura shaaban mwenyewe huyu hapa chini, hii ndio original version ya wimbo huo

 
Boyyyyyyyys,
Cool down!

Zuhura Shaaban mjaribu Mzee Yusuph anaweza kujua aliko,
Nampenda kwenye Sichagui Sibagui atayenizika simjui na Siadhiriki.
Asante kwa taarifa, kuna mdau kanipm kasema yupo zanzibar ana chuo anafundisha watu kuimba taarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom