Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,304
- 14,186
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.
Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?
Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!