wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F. Nimesikia ili uendelee...
  3. JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  4. JamiiForums Tanzania Wauza Vipodozi hutoa wapi bidhaa Kati ya China, Turkey na US?

    Kati ya nchi hizo wapi wanatoa vipodozi affordable price and original? Najua kuna product zinatoka China na ni bora kabisa je ni zipi?
  5. JamiiForums Tanzania Mafundi hapa mfumo wa maji safi na machafu umepitia wapi?

  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Producer Mona Gangster?

    Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k. Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi hizo. Mara ghafla sisikii hata ngoma moja toka kwake? Kwa anayejua hivi bado studio yake ipo...
  8. JamiiForums Tanzania YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  9. JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  11. JamiiForums Tanzania Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mama hodari Mwantumu Mahiza? Sitamsahau, aliwahi tuondoa shule kwa amri ya dk 1

    Namkumbuka huyu mama, nikiwa mwanafunzi bagamoyo, alikuwa moto sana kuna siku nakumbuka tulileta mgomo mkuu wa shule akutufukuza wanafunzi 15 lakini wote tulizikataa barua assemble. Huyu mama akaja akasema kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniatz na kwa mamlaka niliyopewa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

    Habari wakuu. Kwa wale ambao wamesoma elimu ya msingi miaka ya 80 watakuwa wanakumbuka tulikuwa na bendi za gwaride la shule na tulikuwa tukitumia ngoma na zile filimbi zenye matundu manane. Hizi filimbi nakumbuka zilikuwa zinatolewa na serikali kwa ajili ya mashule na pia zilikuwa zinauzwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

    Mzuka wanajamvi! Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi. Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
  15. JamiiForums Tanzania Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

    Habari Jf Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale Haji yule wa simba aliyehamia...
  17. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

    Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua. Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  20. JamiiForums Tanzania Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

    Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo. Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…