London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
700
2,708
Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali

London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims​

A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first city to be bombed in the event of another world war.

Speaking on Russia's Channel 1 television, Andrey Gurulyov, a State Duma politician, said the UK capital would be hit first if the blockade of the Russian exclave Kaliningrad led to war.

"We'll destroy the entire group of enemy's space satellites during the first air operation," he said.

"No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.

"Second, we'll mitigate the entire system of anti-missile defence, everywhere and 100%.

"Third, we certainly won't start from Warsaw, Paris or Berlin.

"The first to be hit will be London.
"It's crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons."
Source: Sky news.
 
Warusi wapo vizuri Sana kwenye technologies za kijeshi hawana mpinzani.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali

London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims​

A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first city to be bombed in the event of another world war.
Speaking on Russia's Channel 1 television, Andrey Gurulyov, a State Duma politician, said the UK capital would be hit first if the blockade of the Russian exclave Kaliningrad led to war.
"We'll destroy the entire group of enemy's space satellites during the first air operation," he said.
"No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
"Second, we'll mitigate the entire system of anti-missile defence, everywhere and 100%.
"Third, we certainly won't start from Warsaw, Paris or Berlin.
"The first to be hit will be London.
"It's crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons."
Source: Sky news.
UK ndio nchi yenye kiherehere sana kwa ulaya ,ikifuatiwa na Poland.
Kwa upande wa NATO nchi yenye chuki kwa Urusi kiongozi ni USA.
Sitegemei vita kufikia huko au kubwa kiasi Cha kuangamiza Jiji kongwe la London.
Hakuna nchi Iko nahamu ya kuingia vitani na Urusi.
Ni kwa sababu Urusi inaweza kuingamiz ulaya yote.
Urusi Ina mchanganyiko wa makombora ya kawaida yenye Nguvu za ajabu pamoja na makombora ya kinyukila.
Vita kati ya NATO na Urusi itahusisha matumizi ya silaha Kali Kaa haraka sana,hii ni kwa sababu ya kuogopa kuwahiwa.
Nani Yuko tayari kufutika katika ramani ya Dunia?
Baada ya mzozo huu kutatokea kiheshimiana kwa Hali ya juu mno.
Na Urusi itapata wapambe wengi mno.
Ila make mkijua kama NATO wakiingia majeshi kamili,basi mjue China,Korea Kaskazini,Iran,Syria na zile nchi za soviet zamani za mashariki mwa Urusi nazo zitaongia vitani.
Nani Yuko tayari kwa ulaya kwa vita ya namna hii?
 
Unaongelea mahaba ila ujue hata vita ya pili ya dunia aliyempa tafu Russia alikua marekani ,kasome historian ya vita ya pili ya dunia vema ujue wababe wa vita
 
Hizi taarifa zina walakini, sidhani taarifa nyeti kama hiyo inaweza ongelewa hadharani na kama ikiongelewa hadharani, ni nn impact yake kwa mlengwa na mlenga???

Hapo ni sawa na alert London kuwa wawe standby mode, au ni kuzuga tu usikute wakaenda bomb Berlin huko
 
Alimpa tafu kwa sababu Adui Yao alikua mmoja.
Kwani unafikiri Hitler angeigeukia USA Urusi au nchi nyingine zisingempa tafu USA.
Mbona Sasa hivi Urusi inampa tafu USA kwenda anga za mabali?😁🤣🤣🤣🤭😁
 
Hizi taarifa zina walakini, sidhani taarifa nyeti kama hiyo inaweza ongelewa hadharani na kama ikiongelewa hadharani, ni nn impact yake kwa mlengwa na mlenga???

Hapo ni sawa na alert London kuwa wawe standby mode, au ni kuzuga tu usikute wakaenda bomb Berlin huko
Hiyo kauli ya kuishambulia Uingereza kwa nyuklia ingesemwa na kiongozi dhaifu (asiye na nguvu imara za kijeshi) kama vile Saddam au Gaddafi ingetosha kuwa sababu ya kuvamiwa kijeshi na Uingereza + NATO, ila kwa kuwa aliyesema ni mbabe wao (Urusi), Uingereza na nchi zote za NATO wanaufyata.
 
Back
Top Bottom