Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 643
Somo la Physics, somo la Physics.
Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana?
Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve.
Bado namkumbuka mwalimu wangu ambae alikua anatumia lisaa lizima kusolve swali moja ubaoni, sembuse mwanafunzi mwenye maswali matano ndani ya masaa matatu.
Mna maoni gani juu ya somo hili wadau