wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndesambulo yuko wapi?

    Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti. Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo" Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mko wapi kukemea vitendo vya watoto kulawitiwa?

    Vitendo vya watoto kulawitiwa kubakwa, kutoa mimba ndoa za jinsia moja mpaka kufikia wazazi kuwalazimisha wana wao kushiriki nao ngono vitendo vinavyoonyesha dhahiri nyakati za sodoma watumidhi Wa Mungu mko wapi ? Tuambieni huuu ndio mwisho uliotajwa tujiandae au? Hii ni agenda muhimu ambayo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania USAWA uko wapi kwenye ongezeko la posho za kujikimu

    Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela. Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua vitabu vya Taasisi za Serikali?

    Habari wadau, Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk. Shukrani.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia. Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
  8. JamiiForums Tanzania Hujafa hujaumbika

    Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake. Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana. Huu usemi wa hujafa...
  9. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake...

    Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi kiliishia wapi? Hao wanawake hata walipokuwa wanaolewa walikuwa wanalia sana😅😅😅 Siku hizi hatuwaoni..
  10. JamiiForums Tanzania Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  11. JamiiForums Tanzania Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni wapi jamani?

  14. JamiiForums Tanzania Kama bei elekezi za mbolea zilipangwa ziko wapi?

    Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi. TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA) 01st Apr, 2022 1.Utangulizi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Aurhority - TFRA)...
  15. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lisa Jensen?

    Mwanadada huyu yuko wapi, alishiriki Miss Tanzania na kina Wema na Jokate.
  16. JamiiForums Tanzania Penzi lako limefikia wapi mpaka Sasa!!

    1.Utosini hadi Unyayoni. 2.Kichwani hadi kabla ya Matiti. 3. Matiti hadi Chini ya Kiuno. 4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni. Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji. Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo hapo ndio kwanza no.2.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

    Wadau, Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa. Je, kwa wale mliowekeza UTT na kwa kulinganisha na hii fixed...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  19. JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  20. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Yule mzee alikuwa fiksi sana. Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…