wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia. Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hujafa hujaumbika

    Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake. Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana. Huu usemi wa hujafa...
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake...

    Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi kiliishia wapi? Hao wanawake hata walipokuwa wanaolewa walikuwa wanalia sana😅😅😅 Siku hizi hatuwaoni..
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni wapi jamani?

  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama bei elekezi za mbolea zilipangwa ziko wapi?

    Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi. TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA) 01st Apr, 2022 1.Utangulizi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Aurhority - TFRA)...
  9. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lisa Jensen?

    Mwanadada huyu yuko wapi, alishiriki Miss Tanzania na kina Wema na Jokate.
  10. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Penzi lako limefikia wapi mpaka Sasa!!

    1.Utosini hadi Unyayoni. 2.Kichwani hadi kabla ya Matiti. 3. Matiti hadi Chini ya Kiuno. 4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni. Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji. Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo hapo ndio kwanza no.2.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

    Wadau, Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa. Je, kwa wale mliowekeza UTT na kwa kulinganisha na hii fixed...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  13. Anna Mwandosya

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Yule mzee alikuwa fiksi sana. Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tally Hunter

    Wakuu yuko wapi Tally Hunter? msaada tafadhali
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini na wapi Mbowe, Zitto, Tundu Lissu & Co walialikwa popote Dunia hii?

    Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima? Watanzania sisi ni watu wa kujipendekeza sana, ukiachilia kwa Mbowe kujipeleka kwa Raila Kenya na kupiga naye...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nchi inapokuwa na Waziri Mkuu mlalamikaji na mshangaaji bila kuchukua hatua zenye matokeo, shida iko wapi?

    Ninaona waziri mkuu akianika madudu ya serikali kama raia asie na mamlaka. Anakuwa mtu wa kusoma uovu kwa kushangaa na kulalalmika, nikisha hakuna kinachoendelea juu ya maovu hayo. Tatizo ni kwamba hana uwezo?, si kazi yake?, hana nia thabiti zaidi ya propanganda za kisiasa? AU genge la uharibu...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake. Hilo la Lukuvi na Kabudi...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  20. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata pikipiki ya umeme hapa nchini

    Mafuta yamekuwa kero, Mwenye uwezo wa kubadili mfumo wa injini ya mafuta kwenda umeme au pikipiki ya umeme completely. Na pia gharama zake zimekaaje respectively
Back
Top Bottom