wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Financial hub ya East Africa iko wapi?

    Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia. Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gymnema inapatikana maeneo gani hapa Tanzania?

    Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya uhakika === Gymnema (Gymnema sylvestre) is a plant native to India and Africa with a history of use in...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaonyanyaswa kisiasa na wanaume

    Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  6. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu. Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
  7. enzo1988

    JamiiForums Tanzania London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

    Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona mmeanza 'Kujishtukia' sasa na wenye 'Akili' tunajua wapi anapapenda kuliko Maelezo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan hana makusudi ya kurejesha Makao Makuu ya Serikali jijini Dar es Salaam na kwamba ameendelea kutekeleza na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Dodoma kuliko maeneo mengine hapa...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

    Ndugu zangu, Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo? Matarajio yangu ni haya. 1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

    Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
  13. ragin

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

    Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

    Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wapi golikipa Kindoki jamani?!!!!

    hawa yanga hapa walitupiga na kitu kizito kichwani kuwahi kutokea!! Huku mtaani kila kipa asiyeeleweka alipewa jina la Kindoki, mtaani kwangu kulikuwa na akina Kindoki kama wanne hv. Anacheza timu gani sasa huyu mwamba?!!!!
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

    Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana. Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibao vya posti kodi bei poa?

    Kwema wadau Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka) Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio...
  20. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake ambao walikuwa tayari kufa kwa ajili ya watoto wao?

    Wakuu habarini za majukumu? Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi nililokuwa ninalisubiria kuchelewa kufika na hivyo nikajikuta nazoeana na baadhi ya abiria niliokuwa...
Back
Top Bottom