Ninahitaji mbegu za mchongoma au wapi nitapata miche yake?

sley97

Senior Member
Dec 6, 2020
166
408
Habar zenu wadau

Wapi nitapata hizo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iwe kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa.

Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzuri sana wa kuandika
 
Habar zenu wadau wapi nitapata izo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iweka kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa. Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzur san wa kuandika
Majini wanapenda sna hyo miti uwe makini sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom