Hapa ni Wapi?

Hapa ni Wapi?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,082
Reaction score
49,728
Tusaidiane.

Hii barabara ni ya mji gani??

Tusaidiane jamani.
20220731_075446_HDR.jpg
 
Hiyo ni clock tower mbele kidogo, hapo kushoto ni ile public toilet na sehemu ya kupumzikia watu.
 
samora jengo unaloona mbele ni choo cha city kushoto na benki ya NBC kulia. Mpiga picha alisimama karibu na Clock Tower kwenye zebra. Hiyo njia anayotokea mwendesha mkokoteni inaingia stesheni.
Sawa mkuu asante sana.
 
Dadeki
Mitaa yangu hiyo enzi hizo natembea kwa miguu posta kariakoo
 
Back
Top Bottom