wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania YUPO WAPI LEYLA !?

    Wakuu Hope Mko Poa, Hivii Leyla Rashid Yupo Wapi Siku hizii !? Yupo Hai !? Maana Tangu nipate Tatizo La Masikio Sifatilii Sana Muziki, Nakumbuka nipo Primary Nyimbo zake zinapigwa kila sehemu, Majirani wanashindana tuu kuweka Taarab, Nikipanda Daladala Taarab Daah... Yule Mama Alikuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

    Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Janja janja nyingi kwenye routers zenu Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
  6. JamiiForums Tanzania Amri ya kifo: Afrika inakwama wapi?

  7. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania DUDE linaloendesha nchi liko wapi? Akitokea mtu CCM akatetea Ukweli, DUDE linammaliza kabla hakujakucha. DUDE LIKO WAPI?

    Hilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
  9. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  10. JamiiForums Tanzania Ulipokuwa unashindia Mihogo na Kunywa Maji, walikuwa wapi?

    Ndugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: 🤔 Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?” 😂 Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako. Chagueni...
  11. JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira uwazi na weledi wenu uko wapi? acheni kuwawekea Watu sababu zisizo za kweli

    Kuna wakati nawaelewa sana, ila kuna wakati mnafanya mambo mengine yanakatisha tamaa sisi tunaojipinda kuangalia status za shortlisted au not shortlisted. Mfumo ulihitaji niweke documents certified na nimefanya hivyo mapema sana. Nikafanikiwa kuitwa kwa interview. Maajabu ni kuwa nimeapply...
  13. K

    JamiiForums Tanzania [OMBI KWA SERIKALI] TEMDO, CAMARTEC na SIDO: Ahadi ya Kuunganishwa Imefikia Wapi na Itakamilika Lini?

    Kwa heshima na kwa kuzingatia umuhimu wa taasisi hizi katika maendeleo ya viwanda, teknolojia na ubunifu nchini, naomba kuwasilisha hoja hii kwa Serikali kuhusu mpango wa kuunganisha TEMDO, CAMARTEC na SIDO. Mpango huu si jambo jipya. Umekuwa ukijadiliwa na Serikali kwa miaka kadhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Yupo wapi ShesRise_1 mwadada mwenye nyuzi fikirishi na amazing

    Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii Wale tunao fuatilia nyuzi zake hapana shaka yoyote huwa tunapata chemsha bongo,elimu na maarifa,kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa; Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi? Au ni winga?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Uganda) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵

    Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵 Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu Necessary, akituvua nguo sisi Watanzania kwa dhihaka na dongo la kimkakati. Jamaa anasema ukiangalia...
  17. JamiiForums Tanzania Maandiko ya Biblia yametoka wapi ?

    1. Uumbaji kitabu cha mwanzo, Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale. 2. Gharika na safina ya Nuhu, Maandiko ya kale ya Mesopotamia, Epic of Gilgamesh ( utenzi wa Gilgamesh)...
  18. T

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari. Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…