Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,656
- 7,225
Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa.
Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo.
Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa siku katoka.
Ebana eee hajamaliza hata mita 5 kukimbia kumbe kuna Mzee wa mawindo chafu moja Mzee wa timing peke Yake Mzee wa kula peke Yake yaani uchoyo ndio asili yake sio mwingine ni CHUI kamdukua swala fasta kamuua kapande nae kwenye mti kama kawaida Yake.
TUKIO LIMENISHANGAZA SANA.