Kumbe kuna wanyama wanakula madawa ya kulevya😂

Kumbe kuna wanyama wanakula madawa ya kulevya😂

Si umeona hata wewe ng’ombe Anakata gogo sehemu yoyote ile

Kwahiyo tusijilinganishe nao mkuu
Kwamba nao wanapiga kijiti au ni wazee wa vyombo?😀
 
sjui bongo shida imo wap kipind nipo kenya mirung naachan nikiw kwenye usafir na hamn anayeniuliza.kule kenya wanasema mirung n dawa ya kuondoa usingiz
 
Sasa Nyati akiizeeka (Mbogo) au Tembo wakila Mirungi halafu ukaingia kwenye Anga Zao hautasahau wanakuwa Wakorofi sana tena sana
 
Back
Top Bottom