wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 3-Kifaru.

    KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa kale karibu kila upande wa Asia. Haya yanaonyesha kwamba zamani vifaru walikuwa wanakaa mahali...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 2-Chui.

    CHUI KATIKA wanyama wote wanaomshabihi paka hapa Afrika hakuna aliye mkubwa kuliko chui ila simba tu. Urefu wake, chui, toka pua yake mpaka ncha ya mkia wake wapata futi saba na uzito wake ni kama ratili mia na hamsini. Anajulikana kwa ajili ya uzuri wa ngozi yake yenye madoa meusi. Madoa...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 1-Tembo

    Tujifunze habari za Wanyama na ndege kutoka kitabu Wanyama na Ndege wa Afrika. TEMBO TEMBO au ndovu ndiye aliye mkubwa kuliko wanyama wote wa dunia hii. Anakaa katika makontinenti mawili-yupo Bara Hindi na huku kwetu Afrika. Iko tofauti kati ya tembo hawa wawili. Huyu wa Afrika yu mkubwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika wanyama walitukoseaga kitu gani, mbona inakuwa ngumu kuishi nao ?

    Kama mtu akifa anarudi duniani kama mnyama, Afrika inipite kushoto kabisa
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

    Anaendelea kusema: "Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

    Suricata (mongoose wa vidole 4) (jina la kisayansi Suricata suricatta) ni mamalia wadogo na wanachama wa familia ya mongoose. Wanaishi kila mahali katika Jangwa la Kalahari, Botswana na Afrika Kusini. Kundi la suricate linaitwa "gloat", "ceat" au "colonie". Kundi la suricates kawaida huwa na...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama unataka ufanikiwe maishani wape wanyama chakula

    Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula. Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Je unawaona wanyama wangapi hapa? Wataje

    Unaona wanyama wangapi hapa? Wataje
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harakati za wanyama na wadudu

  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viwango vya Fidia kwa wanaoathiriwa na uvamizi wa Wanyama viangaliwe

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuwazuia Wanyama kufanya uharibifu huo. Ameyasema hayo leo Februari 24, 2025...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bunge Lampa Tano Rais Samia kwa Kujenga Vituo Maalum vya Kudhibiti Wanyama Wakali Nchini

    Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na kuwajengea vituo na kutoa vifaa vya kukabiliana na changamoto hiyo katika maeneo mbalimbali nchini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinachotufanya wanadamu tuamini kwamba sisi ni bora kuliko wanyama wengine?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba tujadili hili.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wangoni na majina ya wanyama

    Habari manguli wa historia, Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika. Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila wenzao. Ni lini na kwa nini waliamua kutumia majina ya wanyama kama Komba, Ngonyani etc Kwa nini...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Style ya Kifo Cha Mende ndio Tunu turufu na tofauti kuu ya Binadamu na wanyama wengine kwenye tendo la ndoa

    Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu. Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe la kifo cha Mende. Niwatakie heri kwenye michakato ya kunyanduana weekend hii yenye upako mzuri...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini enzi na enzi wanyama hawa wamekuwa wakihusishwa na allegedly kushirikishwa katika uchawi/ushirikina.

    FISI MAMBA (Maeneo ya Ukerewe) BUNDI NYOKA PAKA NYUKI PANYA Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ukatili unafanyika kwenye wanyama wanaofugwa kama Mbuzi, Ng'ombe

    Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
Back
Top Bottom