wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa watoto wangu

    Ntawapa mbinu na elimu ya kuishi kwenye hii dunia ila vitu, Kama nyumba, kiwanja nk. hiyo hapana Mimi Kama nitapata kwangu nitajenga nyumba yangu pembeni yenye chumba kimoja na sebule baaas. Mambo ya kuteseka kisa watoto ambao washakuwa wakubwa sitaki, duniani nafasi ni moja tu, ukienda...
  2. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂 Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania X wangu kabeba mimba anasema ni ya mume wa mtu, lakini alikutana na mimi pia kipindi hiko, inaweza kuwa yangu?

    Wasalaam, Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba 🙄 Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa, ila nikasema sio kesi kwakua si yangu ngoja nifike tuu kwao ni...
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:- 1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane" 2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi Young Africa vs CR Belouizdad

    Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli. Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Huyu mshikaji kamtongoza na kumpata Mwanamke wangu, huku akijua nina mahusino naye

    Kwema wakuu, Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini. Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
  12. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu kaja ghetto na rafiki yake

    Kuna demu nimemtongoza akanikubali basi baada ya muda akawa ananiuliza " Baby unaish wap Natalie Nike kukuona honey Wang" basi kidume kdume nikamwambia " usijali malaika wangu muda si vilee utaiona kambi yang".. Basi demu akawa anafurahi kweli anasema " jamani we honey utaniandalia zawadi...
  13. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
  14. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  16. Heci

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  17. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu...
  18. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala. Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna...
  19. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu wa hasira hata kwa watu wangu wa karibu

    Sijajua ni Nini hasa inanifanya Mimi kuwa na hasira kupita kiasi mpaka kwa watu wangu wa karibu, Kwani nimekuwa nikiwajibu majibu ya mkato mpaka wanakuwa wanashangaa Wengine huishia kunyamaza na wengine huniambia kuwa nimewajibu vibaya, Hii Hali imeanza mwezi huu wa kwanza, natamani Sana...
Back
Top Bottom