Mwanamke wangu kaja ghetto na rafiki yake

KIBUGAmk

Member
Jan 22, 2024
83
130
Kuna demu nimemtongoza akanikubali basi baada ya muda akawa ananiuliza " Baby unaish wap Natalie Nike kukuona honey Wang" basi kidume kdume nikamwambia " usijali malaika wangu muda si vilee utaiona kambi yang"..

Basi demu akawa anafurahi kweli anasema " jamani we honey utaniandalia zawadi gani?, Nikamuuliza, kwanza wewe unapenda nini?, akajibu napenda apple mpenzi, nikamwambia usjalii apple tu worry out ( hapo mpaka tunamalza maongezi demu alikuwa akiongea kwa feeling sana

Moja kwa moja nikajiongeza kansa kwamba demu anataka show (na ni kweli mawazo yang yalikuwa sahihi

Lakini cha ajabu siku ilipo fika nikamwita ghetto akaja ila cha kushangaza alikuja na best yake, basi wakaingia ndani tukacheki movie, tukala, then after ulipofika muda wa kuondoka basi wakaenda

ila dem alipo ondoka tu usiku alinitext akisema " fj4family wewe ni mwanaume kuna baadhi ya vitu lazima uwe unajiongeza, nikamuuliza una maana gani?, akasema "Ujue nilikuwa nina hamu lakini wewe ulivyo punguani hata hujiongezi"

Sasa nashangaa jamani kama alikuwa ana lengo hilo si angekuja peke yake?, Ningefanya vipi mbele ya rafiki yake?, Mbwaaaa zake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
images (1).jpeg
 
ungejiongeza sasa hivi ingekuwa storii nyingine kabisa ya jinsi ulivyo mgonga demu wako na rafiki yake.
 
Kuna demu nimemtongoza akanikubali basi baada ya muda akawa ananiuliza " Baby unaish wap Natalie Nike kukuona honey Wang" basi kidume kdume nikamwambia " usijali malaika wangu muda si vilee utaiona kambi yang"...
Kweli wewe Punguani hasa.

Mwanzo uliamini anataka Apple.

Upnguani mwingine alipokulegezea sauti ukadhani anataka Dushelele

Upunguani Mkubwa ni pale alipokuja na Rafiki yake na bado anakwambia umeshindwa kujiongeza na umeamini kweli.

Umri wako miaka mingapi Dogo?
 
Back
Top Bottom