X wangu kabeba mimba anasema ni ya mume wa mtu, lakini alikutana na mimi pia kipindi hiko, inaweza kuwa yangu?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Wasalaam,

Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba 🙄

Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa, ila nikasema sio kesi kwakua si yangu ngoja nifike tuu kwao ni msalimie ma mkwe X, alipo niona alifurahi saana maana ananijua.

Dear X bana akanieleza kwamba aliyempa mimba ni mme wa mtu ambaye ni kama alidhamiria kufanya hivo ikiwa yeye hataki na hata alipojaribu kuitoa ili goma, ikawa na yeye jamaa pamoja na kuitwa na wazazi aligoma kushiriki utoaji mimba.

Ananiambia hayupo tayari kulala na huyo jamaa zaidi yangu na anapata amani saana na mimi kuliko huyo jamaa, alitamani kubeba mimba yangu sema mm nilikua mkali namnyesha P2 na nilimpiga biti akishika ujaozito tuu mi na yeye basi. Ikawa hivo mpaka nilipo muacha nikawa na demu mwingine, kitu ambacho hakukubali alikua tayar kua side chick

Utata unakuaja hapa alikua anafosi saana na kuniomba tupashe kiporo kwakua kwa huyo jamaa (mume wa mtu) ni kisukari tupu na ashazoea moto wangu.

Sasa kwakua mtoto wa kimakondo ni fundi sijawahi ona nikapasha nae ka mara mbili hivi, na nilikua napiga kavu mara zote aliniambia yupo kwenye safe days hawezi pata mimba.

Shida inakuja umri wa mimba unaangukia kipindi tulipasha kiporo na wakati huo huyo jamaa yake alidai alisafiri wana mda hakukutana kimwili.

Je, hii mimba kwa mazingira haya si yangu kweli? Si kwamba ameamua kunibebea kwa nguvu (na kumpa mme wake) alafu nitajua mbele kwa mbele maana ananiambia angeweza kuniroga angeniroga ikiwezekana mnyama mnyamwezi asifanye kazi kwa demu yeyeto ila yeye tuu.

Naomba nijue.... nami niamue nn juu ya damu yangu. Ahsante
 
Wasalaam,

Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba

Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa, ila nikasema sio kesi kwakua si yangu ngoja nifike tuu kwao ni msalimie ma mkwe X, alipo niona alifurahi saana maana ananijua.

Dear X bana akanieleza kwamba aliyempa mimba ni mme wa mtu ambaye ni kama alidhamiria kufanya hivo ikiwa yeye hataki na hata alipojaribu kuitoa ili goma, ikawa na yeye jamaa pamoja na kuitwa na wazazi aligoma kushiriki utoaji mimba.

Ananiambia hayupo tayari kulala na huyo jamaa zaidi yangu na anapata amani saana na mimi kuliko huyo jamaa, alitamani kubeba mimba yangu sema mm nilikua mkali namnyesha P2 na nilimpiga biti akishika ujaozito tuu mi na yeye basi. Ikawa hivo mpaka nilipo muacha nikawa na demu mwingine, kitu ambacho hakukubali alikua tayar kua side chick

Utata unakuaja hapa alikua anafosi saana na kuniomba tupashe kiporo kwakua kwa huyo jamaa(mme wa ntu) ni kisukari tupu na ashazoea moto wangu.

Sasa kwakua mtoto wa kimakondo ni fundi sijawahi ona nikapasha nae ka mara mbili hivi, na nilikua napiga kavu mara zote aliniambia yupo kwenye safe days hawezi pata mimba...

Shida inakuja umri wa mimba unaangukia kipindi tulipasha kiporo na wakati huo huyo jamaa yake alidai alisafiri wana mda hakukutana kimwili.

Je hii mimba kwa mazingira haya si yangu kweli??
Si kwamba ameamua kunibebea kwa nguvu (na kumpa mme wake) alafu nitajua mbele kwa mbele maana ananiambia angeweza kuniroga angeniroga ikiwezekana mnyama mnyamwezi asifanye kazi kwa demu yeyeto ila yeye tuu.

Naomba nijue.... nami niamue nn juu ya damu yangu. Ahsante
CHAI
 
Ananiambia hayupo tayari kulala na huyo jamaa zaidi yangu na anapata amani saana na mimi kuliko huyo jamaa, alitamani kubeba mimba yangu sema mm nilikua mkali namnyesha P2 na nilimpiga biti akishika ujaozito tuu mi na yeye basi. Ikawa hivo mpaka nilipo muacha nikawa na demu mwingine, kitu ambacho hakukubali alikua tayar kua side chick
Baadae uje ulalamikie ccm eti maisha magumu.
 
Back
Top Bottom