wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku ya wanawake duniani

    Jamani wanawake wa humu heri ya siku kwenu wengi mpo vibaruani mkitafuta riziki ya watoto wenu . Good day Kwa wote wanajamiiforums To yeye Lovelovie Kalpana Antonnia Lenie Depal na Nakadori mpenzi upo wapi?? Ukiwa online nitext sikuwepo kabisa hiyo siku jf naongea na wewe Nakadori . Good day...
  2. Wanawake na Uhuru

    WANAWAKE NA UHURU Anaandika, Robert Heriel Nianze Kwa kuwapongeza Wanawake wote Duniani katika siku yenu hii. Ninyi ni Watu muhimu Sana ndani ya jamii. Na ili umuhimu wenu uwepo ni lazima muwe Huru. Na hicho ndicho leo ninaenda kukieleza Kwa UFUPI. Mara Kwa mara nimekuwa nikionekana...
  3. Siku ya wanawake duniani/siku ya wanawake Tanzania: Nyange binti Chande wa Tabora

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA NYANGE BINT CHANDE MWANAMAMA ALIYEJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kuna mtu alipata kusema kuwa utafika wakati watoto na wajukuu wa wapigania uhuru wataingia katika makabati na masanduku ya wazee wao kutaka...
  4. J

    Siku ya Wanawake Duniani: Vikwazo wanavyokumbana navyo Mitandaoni vipate ufumbuzi

    Upatikanaji wa Intaneti pekee hautoshi kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Majukwaa ya Kidigitali. Ni muhimu vikwazo wanavyokumbana navyo vipate ufumbuzi. Masuala ya Unyanyasaji wa Mtandaoni na Gharama kubwa ya Huduma ya Intaneti yanahitaji suluhisho ===== As our daily lives become...
  5. S

    Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

    Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa. Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
  6. Siku ya Wanawake ni wanawake wanaonung'unikia watoto wao

    Wanawake ndio waliozaa watoto wote wa kike na kiume kwa uchungu na mahangaiko makubwa, kisha wakashiriki kwenye kuwakatia vitovu vyao mara tu baada ya kuwazaa. Wakawanyonyesha, kuwaogesha na kuwavisha na kuwasomesha hadi pale watoto walipoanza kujitegemea wenyewe. Inatisha na inashangaza kuona...
  7. Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  8. Wanawake milioni 1.6 wamefikiwa kwa elimu na huduma za Afya ya Uzazi kwa Mwaka

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani ambayo inaadhimishwa Machi 8 kila Mwaka, Shirika la Marie Stopes Tanzania limesisitiza umuhimu wa Elimu na huduma za Afya ya Uzazi kuwa ni msingi bora kwa Afya ya mwanamke na kwa maendeleo katika jamii. Dkt. Geoffrey Sigalla (kushoto) na V.S. Chandrashekar...
  9. Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  10. CHADEMA ndani ya Domo la Chatu Siku ya Wanawake Kitaifa-Arusha

    Nawasalimu ndugu Watanganyika, Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha Upinzani. Risala zitasomwa na zitajibiwa kwa hotuba na maneno mazuri lakini kiukweli behind hiyo...
  11. Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni: Ujuzi na Gharama zatajwa kukwamisha wengi

    Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
  12. Wanaume wengi siku hizi wamebadilika

    Anaandika, Robert Heriel 1. UKWELI, KUJIAMINI NA MSIMAMO VIMEPUNGUA Ilikuwa ni Tabia ya mwanaume halisi kusema Ukweli pasipo kupindisha pindisha maneno bila kujali ataonekana vipi. Wakati Kwa Mwanamke ni Haki yake kuongea Kwa kuangalia ataonekana vipi kwani lengo la Mwanamke ni kupendwa. Kwa...
  13. Wanawake acheni hii tabia mara moja

    Morng guys Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa kiingereza. Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida...
  14. Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: JamiiForums inatambua mchango wa wanawake kwenye ulimwengu wa Digitali

    Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao. Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa...
  15. Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  16. M

    Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  17. Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  18. Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  19. Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…