Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
 
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, Manyara na Dodoma wlaya flani kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
wanawake wa hiyo mikoa ni wazuri sana sasa akiingia mji ka. dar anashambuliwa na wahuni kibao
 
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, Manyara na Dodoma wlaya flani kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
Unachosema kweli kabisa
 
Back
Top Bottom