Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,721
10,224
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana msongo wa mawazo. 35-42 ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake hasa wanawake wa kundi la 6. Wanawake wa kundi la 6 wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani.

Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wanaweza kutawaliwa. 22-24 wanaweza kukuumiza. 24-27 unaweza kuweka nao malengo yenye tija. 27-30 watakuchunguza sana na hawatakupenda kutoka moyoni. 30-35 wamejawa na dharau za kijinga. 35-42 watakung’ang’ania kupoza hasira za huko walikotoka.

Tofauti na wanawake wenye umri wa miaka 18-22, na wanawake wenye umri wa miaka 24-27, wengine wote ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 42 na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako ikiwa mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama Mwenyezi Mungu alimjaalia watoto.
 
1681945421906.jpg
 
Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa letu na nchi nyingi barani Afrika. Ajabu tukianzisha mada kwenye jukwaa la Kilimo hazipati wachangiaji.

Majukwaa Kama ya Kilimo; Ajira na tenda; Ujenzi; Biashara; Elimu na mengine yenye tija hayana wachangia.

Jukwaa la Siasa linajitahidi kupata wachangiaji japo wengi wao ni watoto kifikira. Jukwaa pekee busy masaa yote ni hili, japo napo hakuna la maana la kujifunza
 
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana msongo wa mawazo. 35-42 ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake hasa wanawake wa kundi la 6. Wanawake wa kundi la 6 wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani.
u, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama Mwenyezi Mungu alimjaalia watoto.
acha kujitengenezea vitu vya kijinga. we umetoa wapi huu uchanganuzi, kwa hiyo unakaa mwenye na stess zako unatuletea upupu wako huku. Acha utoto
 
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana msongo wa mawazo. 35-42 ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake hasa wanawake wa kundi la 6. Wanawake wa kundi la 6 wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani.

Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wanaweza kutawaliwa. 22-24 wanaweza kukuumiza. 24-27 unaweza kuweka nao malengo yenye tija. 27-30 watakuchunguza sana na hawatakupenda kutoka moyoni. 30-35 wamejawa na dharau za kijinga. 35-42 watakung’ang’ania kupoza hasira za huko walikotoka.

Tofauti na wanawake wenye umri wa miaka 18-22, na wanawake wenye umri wa miaka 24-27, wengine wote ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 42 na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako ikiwa mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama Mwenyezi Mungu alimjaalia watoto.
Age is just a number.
Kuna watu ukikutana nao huwezi dhania kama wana umri gani.
Tena wengine ni vijeba lakini wanatawaliwa kuliko kawaida na wengine ni wadogo kwa umri lakini huwawezi kwa utata.

Nilichojifunza kwenye masuala ya mahusiano ni kutokuweka malengo makubwa kutoka kwa mtu uliyenaye. (Don't make high expectations) Akikufanyia jambo zuri au ubaya unajaribu kupotezea ilimradi tu halidhuru uhai wako!
 
That's it cute😘
 
Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa letu na nchi nyingi barani Afrika. Ajabu tukianzisha mada kwenye jukwaa la Kilimo hazipati wachangiaji.

Majukwaa Kama ya Kilimo; Ajira na tenda; Ujenzi; Biashara; Elimu na mengine yenye tija hayana wachangia.

Jukwaa la Siasa linajitahidi kupata wachangiaji japo wengi wao ni watoto kifikira. Jukwaa pekee busy masaa yote ni hili, japo napo hakuna la maana la kujifunzapungiza ujuaji
 
Back
Top Bottom