Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

Fabian Vitus

JF-Expert Member
Jul 18, 2022
4,667
5,716
Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na nyoka kuhusu kuliwa kwa tunda la katikati ndipo mmbo yalipo badilika mpaka tunaishi kwa masimango duniani hili jambo likamkuta Samsoni kwa Delila aseee mpk Leo ndoa zinaishi kwa uongo tu swali je kama DELILA tu alidanganywe akutane na SAMSON kwenye penzi akiwa pesa zake kafungasha ilimradi tu aingie kwenye penzi zito kwa Samsoni na smson kaleweshwa na penzi unadhani sisi ni akina nani tutapona katika janga hili iliupate uterezi ktka Mbususu na nini alianzisha hili wazo angali Mungu alitoa vyote tuvitumie bure lkn wao kugeuza biashara mimi sio msomi wa bibilia lakini kwa uelewa wangu mdogo wenye mawazo mapana kupata Mpenzi asie na tamaa hii itakua ngumu kidogo isipokua kishaanza kujichokea ndio afanye maamzi mwenyew🌹😋😋maoni yako ni nini na kama wadada naomba mlidadavue hili jambo nini chanzo hasa
 
Hivi karibuni kumekua na Lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katka mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyo umba ulimwengu nakumfanya Hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na nyoka kuhusu kuliwa kwa tunda la Katikati ndipo mmbo yalipo badilika mpk tunaishi kwa masimango duniani hili jambo likamkuta Samsoni kwa Delila aseee mpk Leo ndoa zinaishi kwa uongo tu swali je kama DELILA tu alidanganywe akutane na SAMSON kwenye penzi akiwa pesa zake kafungasha ilimradi tu aingie kwenye penzi zito kwa Samsoni na smson kaleweshwa na penzi unadhani sisi ni akina nani tutapona katika janga hili iliupate uterezi ktka Mbususu na nini alianzisha hili wazo angali Mungu alitoa vyote tuvitumie bure lkn wao kugeuza biashara mimi sio msomi wa bibilia lakini kwa uelewa wangu mdogo wenye mawazo mapana kupata Mpenzi asie na tamaa hii itakua ngumu kidogo isipokua kishaanza kujichokea ndio afanye maamzi mwenyew🌹😋😋maoni yako ni nini na kama wadada naomba mlidadavue hili jambo nini chanzo hasa
Tamaa!
 
Back
Top Bottom