Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Magdalene_joseph

JF-Expert Member
Jun 26, 2023
230
614
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
 
Astakafiru...!
Astakafiru...!
Astakafiru...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni Malaya ?

Nimeuliza tu

Sawa uzeni.

Jamii yeyote haikosi kila aina ya watu wenye tabia fulani(nzuri/mbaya). Hata kwenye jamii forum yetu tupo tumejaa tele. Sote tunakandiana kadiri ya tupatapo nafasi ya kufanya hivyo.

Nakubaliana nawe.
Humu wanaume hujiona saints! Wakijisahau tu utasikia nilimla mke wa rafiki yangu! Baadae rafiki zake wataanza ....

Mara nipo dodoma na mtoto mkali! Mke wake wa dar akitongozwa tu mnanunua mkaa gunia mbili.

Balance inahitajika
 
Nadhani ukipita kule kwa uzi wa rikiboy utaona shuhuda na uhalisia wa mambo, mzani unaweza usibalance vizuri ila kuna wanawake wanashuhudia kama haya yanayowekwa wazi na wanaume wengi kwenye michango yao humu.
 
Nimeupitia masihara mengine ni kama ubakaji! Na story nyingi anayeanzisha masihara ni mwanaune!

Chanzo ni nyie! Kwanini uniamshe hisia halafu nikikupa ukanitangazie umalaya!
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
haa umetoa povu hatariii
 
Imagine. Yaani umalaya wafanye watu wawili lawama kwa mmoja! What kind of thinking is that?
Dear nikwambie kitu simu yangu imevunjika na huyuu baba mwenye nyumba anasumbua, ile gas mbona hujatuma boda boda ailete, akileta apitie nyama vitu vya kupika vimeisha na hii ni sms ya mwishoo maana kifurushi kinaisha mda si mrefu na sina vocha.

mkuu kwema lakini mbona umepanik hivyoo kwani situlikubaliana kwamba wanaume wote sisi ni mbwa. inakuaje unalalamika tena mkiguswa kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom