Double Standards za wanawake kwa waume zao dhidi ya ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana.

Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao.

1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume wakichakata wanawake wengi ama watoto wazuri kadri iwezavyo lakini hawako tayari kuona waume ama wapenzi wao wakifanya hivyo. Unabaki unajiuliza kwani kaka zao na waume zao ni wanaume tofauti?

2. Wanawake wako tayari kufuga kuku 10 huku jogoo akiwa mmoja na matetea 9 lakini hawako tayari kuona waume zao ama wapenzi wao wanafanyiwa favor kama ya jogoo. Huu ni unafiki wa hali ya juu sana ya wanawake. Kwa nini wasifuge matetea 10 ma majogoo 10 ili kila jogoo liwe na tetea wake?

3. Wanawake wako tayari kufuga mbuzi 10, beberu moja na majike 9 lakini hawataki kuona wapenzi wao ama waume zao wakipata favor kama ya beberu ya kuwa na ke wengi. Hawtaki kabisa lakini beberu kapewa wake 9 anakula maisha na hawamtoshi akiona wengine pembeni anawarukia.

4. Kumbuka mfano namba 2 na namba 3 hapo juu, wanyama hao ama viumbe hao niliotaja wanafanya ngono kwa ajili ya kuzaliana tu na sio kama starehe na bado wanahitaji wake ama majike kati ya 9 hadi 15. Jiulize, kama wangekua wanafanya ngono kama starehe kama binadamu wangehitaji majike wangapi?

5. Zaidi ya 99.9% ya wanawake wote Duniani hufurahia kuona kaka zao wakiongeza mke wa pili ama kuwa na mchepuko na kuzaa nae na wala hawamwambii wifi yao na humpa wifi yao lawama kwmaba ndio mkorofi hadi kaka yao kaongeza mke lakini hawataki waume zao wazae nje ama wawe na michepuko, hii double Standards ya nini?

6. Wanawake ni kwa nini hawataki kukabiliana na kukubaliana na ukweli kwamba wanaume ama jinsia ya kiume yoyote bila kujalisha ni panya, jogoo, beberu ama binadamu wanafanana, wanahitaji majike wengi zaidi ya mmoja.

7. Wanawake, sisi waume wenu ama wapenzi wenu tunataka mtukubali na mtupatie upendeleo kama mnaowapa ndugu zenu wa kiume kwa sababu sisi wote ni wanaume na tunafanana.

Ahsante.
 
Hiyo namba 1 ni kweli kabisa.

Nimeshuhudia jamaa akiunganishiwa wanawake na Sister wake.

Ajabu huyo jamaa (Kaka mtu) kaoa na Dada yake kaolewa.
Hapo ndio ushangae, wanawake wanaweza kuona mtoto mzuri wakamfanyia mpango kaka yao amchakate ila hawako tayari kuona mtoto mzuri wakamfanyia mpango mume ama mpenzi wake amchakate na kuchangamsha damu, hawataki. Wanafiki sana.
 
8 Mwanamke anaweza kumnyima mbususu mumewe wa ndoa lakini akampa boss wake sababu aongezwe mshahara. Au akampa HR mbususu kwa kupata ajira

Kuna mdada mmoja mwanawe wa kiume kampa jina la ex wake sasa mumewe jana ndio kajua kama mtoto jina la ex wa mkewe🤣🤣🤣
 
Usithubutu kumpa nafasi mke kutoa jina la mtoto bila kulifanyia utafiti.
 
Ukitaka kugombana na mama ako au dada zako basi waambie nataka kuoa single mother au useme nataka kuoa mwanamke aliyeachika. Hiyo vita yake hutoiweza, watakuambia kama hujui kuchagua tutakuchagulia.

Wanawake siku zote wanataka watoto wao na kaka zao wapate kilicho bora lkn wanataka watoto wa wenzao ndo wazoe hizo takataka zilizobaki.

Ukisema wewe sitaki kuoa single mother watakupiga mawe lkn akisema kaka yao wanamuunga mkono
 
Katika hili naunga mkono hao wanawake wako sahihi kabisa, Mimi ni mmoja kati ya wanaomini DOUBLE STANDARD ni jambo la lazima na muhomu kwenye mahusiano na hii ipo in nature watu wote si wanaume siwanawake tuna Double Standard na tunapaswa tuwe nayo ni mjinga tu ndiye aaiyekua nayo ila kuna mfano mfano huo wakwanza Happ hawapo sahihi ila Standard zile common wapo sahihi.

Mfano mimi siwezi kuoa single mother hata kama dadayangu ni single mother au mamyangu alikua single mother mimi ninahaki ya kuchagua kilocho bora ukiniambia dadayako nayeye single mother Hilo si jukumu langu ni jukumu la dadayangu na huyo atakayekuja kumuoa kama yeye alishindwa kutafuta kilicho Bora kwa ujinga wake akaja kuoa dadayangu single mother ni yeye ila mimi akija kwangu nitampa heshima ya shemaji na nitafungisha ndoa siwezi mwambie dadayangu single mother muache yaani hili si jukumu langu sihui unanipata.

Mfano wa Double Standard ambazo watu wanazo na wako sahihi
1)Sioni malaya hata dadayangu aqe malaya
2)Sitaki mwanamke asiye na makalio hii hajalishi dadayangu, mamayangu awe Hana makalio Hilo si jukumu langu
3)Kutaka kuoa tajiri ikiwa kwenu ni maskini
4) Mwanamke kutaka Handsome boy wakati babayake na kakazake sura za ndovu
5)NK

Double Standard ni kitu Cha lazima hii kutoka na nafasi zetu
 
Kuna shemeji yangu alienda mahafali ya kidato cha tano shule girls tupu kumsindikiza mwenzake aliporudi kanipa pasi ya upendo
 
8 Mwanamke anaweza kumnyima mbususu mumewe wa ndoa lakini akampa boss wake sababu aongezwe mshahara. Au akampa HR mbususu kwa kupata ajira

Kuna mdada mmoja mwanawe wa kiume kampa jina la ex wake sasa mumewe jana ndio kajua kama mtoto jina la ex wa mkewe🤣🤣🤣
Navunja hio ndoa aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom