wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  2. M

    JamiiForums Tanzania Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi yule aliyeandika 'mwanamke atazaa kwa uchungu' katika bibilia hakujua kuwa Kuna baadhi ya wanawake hawana kizazi?

    “Nitakuzidishia uchungu wako katika kuzaa; kwa uchungu utazaa watoto…” Huu ☝️ mstari wa bibilia huwa unanifikirisha mno wakuu, kwa maana unaubaguzi mkubwa. Wote wenye tatizo la utasa (wasio na kizazi) wameachwa nyuma na mstari huu wa bibilia. Huwa nalia sana ninapoutafakari mstari huu...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ushujaa wa hao wanawake uko wapi? Hivi Asha Rose migiro na Getruda Mongela ushujaa wao uko wapi na kwenye nini?

    Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania. 10. LITI KIDANKA. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

    Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia NB, mke mmoja hatoshi
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake wa humu ndani.....

    Nikaambiwa ujue tunakuchukulia kama kaka yetu! Kwahiyo.. Yaani mimi NI KAMA KAKA YAO..! Lakini mimi sio kaka yao maana hatuna hata vinasaba vya DNA😀
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

    Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu. Hiyo ni tofauti na miaka ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanaume Hufa Mapema Kuliko Wanawake: Uchambuzi wa Kina wa Kitaalamu

    Kwa mujibu wa tafiti za afya ya umma duniani, wanaume wana wastani wa maisha mafupi kuliko wanawake, jambo lililothibitishwa na World Health Organization. Tofauti hii si ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya mwingiliano wa mifumo ya mwili (biological systems), tabia za binadamu (behavioral...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane wanaume siyo mbwa na wanawake si chuma ulete kwenye mahusiano

    Wakuu habari, Kuna jambo nimeliwaza, kama binadamu tuna mema na madhaifu, kila mmoja wetu ana uwezo katika jambo fulani na ni dhaifu upande mwingine na hii ndiyo sababu ya kuumbwa kwa kutegemeana. Mara nyingi kinachotushinda kwenye mahusiano na kupelekea kuitana majina mabouvu ya fedhea ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake aibu haipo tena? Wafanyakazi wote tunajua anaishi na mme wa mtu huku lakini amechumbiwa anatuomba ufadhiri wa Send off yake!

    Hii ni sawa na kushiriki na dhambi isiyotuhusu asee. Ni mdada mzuri alipoajiriwa tu mwaka jana basi kuna jemba yenye mke huko mkoa X ikaanza kuishi naye uchumba sio uchumba mke sio mke lakini waswahili husema umuonaye anatoka kwenye chumba cha Mama yako kajifunga Taulo huyo ndiye ni baba yako...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Nyerere alikuwa Mtetezi wa Wanawake, aliandika Kitabu Hakijachapishwa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki. Wasira ameyasema hayo leo Februari...
  13. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

    The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa. Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnatuboa sana wanaume na stori za 'ma -X' wenu waliowatoa bikra, kama mlipendana kwanini mliachana?

    Habari zenu wanajamvi. Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana. Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na...
  16. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Double standard za wanawake

    “Mtazame mwanaume kwa kuangalia viatu vyake, mkanda wake, saa yake n.k…” Sawa, tunakubaliana mwanaume anatathminiwa kwa muonekano wake? LAKINI… Mwanaume akisema: “Mavazi yako yanaonyesha tabia au heshima yako…” Ghafla anaitwa mshamba, controlling, au mwenye wivu zaidi Kwa nini sheria...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na wanaume hawachanganyikani msikitini?

    Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
  18. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine wana dharau sana

    Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi. Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers? Goddamn sasa hivi vitu nitavifanyaje? Mwana JF yeyote ajae tutoe kitu basi
  19. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

    Hamjambo! 1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii; 2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka. 3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume...
Back
Top Bottom