Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.
Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia...