sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,320
- 4,765
Kuna kitu uwa nashangaa sana kwa wanawake.
Mwanamke anapenda kupewa attention na mwanaume wakati anatongozwa. Ila akipewa sana attention yani kujaliwa sana anamchukulia mwanaume poa. Mwanaume akianza kumpotezea kutojali unakuta yeye ndio anakolea vizuri penzini.
Hii ni experience yangu kwa wanawake niliodeti nao. Mwanzoni anahitaji attention unampa na ukishampa anaanza kukuchukulia wa kawaida mpaka pale utapoanza kumpotezea yani usimfanye the one and only.