Kwanini wanawake wengi ambao walikuwa 'pisi kali' mtaani wakiolewa hawadumu kwenye ndoa?

Zozotoli

Member
Jun 21, 2021
22
52
Hi every ones

Nina swali lina ni vuruga kweli kweli

Pili nina taka kuomba ushauri

Hivi kwanini wanawake wengi ambao wali kuwa pisi kali mtaani wa kiolewa kwanini wengi wao awa dumu kwenye ndoa?

2) Na kwanini wana fanya wakisha zalishwa na kuachwa wana kuwa pisi bure?

Je, thamani yao ushuka mbele ya macho ya wanaume, au wenyewe tu wana jiona awana samani tena?

Sasa mwaka jana nili kuwa kwenye mausiano na kadada kamoja hivi.

Lakini kadada hako kanajiona Karembo kweli kweli kamesahau mimi ndo nilikafanya kawe karembo maana nili kaonyesha dunia na jinsi gani mtu Ana weza aka tafuta pesa na ku win maisha kadada kali pata marifa Kakaanza kuniona sifai kweli kweli.

Kaka nipiga chini sasa ivi kame mpata mwanaume marekani yaani ndo kana kula raha kweli kweli

Ila Mungu so asumani bwana
Nime pata nyingine pisi kali zaidi ata ya karembo ako ka Instagram

Ila nilivyo fatilia nili kuta dada uyo tayari Ana mtoto na nili peleleza kwa majirani zake bila yeye kujua kwanini ana mtoto alafu yupo kwao wala si kwa mme wake ?

Majirani wali ni ambia akuolewa Bali wahuni wa mtaani wali kula vitu vyao waka mpa mimba alafu waka muacha solemba kipindi bado Ali kuwa na miaka 15

Sasa ivi Ana 23

Sasa kidada icho kweli kweli ni kizuri yaani kana shape nzuri karefu na kipindi iki ambacho tupo kwenye mausiano Ana ni eshimu saana na kuni jali kweli kweli

Ila wanangu mara nyingi na sikiaga kwa wahuni wenzenu uko mitaani wana sema mwanamke mwenye mtoto sio wa kuoa ni wa kuzalisha tu na kuacha
Eti uki muoa siku ambayo yule kijana aliye mpiga mimba akitaka kula mzigo ata kula kwa uraisi kabisa bila ata problems

Je ni kweli mwanamke ambaye Ana mtoto sio wa kuolewa na kijana ambaye bado ajawa na mtoto ?

Wanangu naomba ushauri kabisa maana Mimi bwana na taka ni mtoe uyu miss Instagram moyoni mwangu kabisa

Lakini na ogopa saana kumpa uyu mwingine na fasi ya kumuoa usije ika ni tokea kama yale ya miss instagram
 
Unakwama wapi tulishakubalia wanaume wote hakuna kuoa single mother maana wadada wabichi wapo tele na wanataka kijana kama ww.kuoa single mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa tayari
 
Back
Top Bottom