wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

    Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo. Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha) Kuna baadhi ya mishono...
  3. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  4. JamiiForums Tanzania Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

    Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania "Wakati Shetani anaamua kuharibu jamii, huanza na wanawake.”

    Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu? Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeachana na wanawake wawili kwa sababu ya kauli hizi za kipumbavu

    Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake karibia 90% waliozaliwa 2000s wametolewa bikira na walimu

    Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti wanapoteza ubingwa wa makombe yote mawili hata kabla ligi haijaanza. Sasa basi katika tafiti zangu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Anatakiwa Awe Anajua Kupika au Kupika ni Suala la Wanawake Tu?

    Habari wakuu, Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee? Kuna hawa wanaume ambao hawajui kabisa kupika. Sijui kwa kweli wanaishije! Ila kwa uzoefu wangu, wengi wao ni wale...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke katili asiejali vilio vya wanawake wenzake

    Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia. So kama huyu mama yenu mtawala anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
  10. JamiiForums Tanzania Muhamad aliona wanawake wana upungufu wa akili

    Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili. Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Shahādāt" (Kitabu cha Mashahidi): Tafsiri: Anasema Abu Sa’id al-Khudri (RA): Mtume ﷺ...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nini wanawake humaanisha wanaposema wanahitaji 'Real man'

    NINI WANAWAKE HUMAANISHA WANAPOSEMA WANAHITAJI "REAL MAN" [ MWANAUME WA KWELI ]? Hii sio kauli ngeni kwa wanawake kusema wanahitaji "real man", huwa unawaelewa? Real man kwa wanawake haimaanishi ile maana ambayo dunia tunaijua, wao wana maana yao. Bro ukiona mwanamke anakuita "real man" basi...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimeumia kuona baadhi ya wanawake wakipotoshana, wanaume waoga, ukweli ni kwamba utiifu wetu ndio umefanya tusifike Afrika kwa amani

    https://www.tiktok.com/@mamab_oficial/video/7558468367993130296 Hebu someni hizi comments jinsi wanavyopotoshana,
  14. L

    JamiiForums Tanzania “Roho ya Beijing” yatia nguvu katika kuwawezesha wanawake wa Afrika

    Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake. Miaka 30 iliyopita, Mkutano wa Nne wa Dunia wa Wanawake wa Umoja wa Mataifa pia ulifanyika Beijing, ambapo Azimio...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake hizi tabia mkiwa na ujauzito ni za kweli au ni madharau? wife anasema harufu yangu ina mkera!!

    Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

    Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii. Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana. Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu. Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
  17. JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi.. Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

    Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine. Wanawake bana 🤣🤣
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wanawake wa Bongo hiki kitu hakiwezekani

    Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani. Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake Mnaweza Kuwa Na Ego Kwenye Biashara na Kazini Lakini Sio Kwenye Ndoa

    Sifa ya Ego ni ya mwanaume na si ya mwanamke, mwanaume ndio mwenye ego ya mamlaka na uongozi kwenye ndoa Hivyo basi mwanamke anapotaka kuchukua nafasi ya mwanaume na kuleta zile habar za 50/50 hapo anakuwa amevuka mstari mwekundu na kutikisa himaya ya mwanaume Ndio maana ndoa yoyote ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…